laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,829
- 2,294
UmbwaKudadadek! kwanza walichelewa sana kumkamata, ana matusi sana huyo mdude wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UmbwaKudadadek! kwanza walichelewa sana kumkamata, ana matusi sana huyo mdude wenu
Kuliko ya Jiwe na Wateule wake?Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
maelezo hayana mtiririko wa kueleweka.Magari mawili aina ya Nissan Patrol na Toyota Landcruzer (yasiyo na namba za usajili) yakiwa na watu kadhaa wenye silaha za moto wamevamia eneo la kazi la Ndugu Mpaluka Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema dakika chache zilizopita. Mdude ni fundi wa Computer na masuala ya IT na ofisi yake ipo maeneo ya Vwawa, huko Mbozi.
Watu hao wamefyatua risasi moja hewani na kuwaamuru watu wote waliokuwemo kulala chini kisha wakamchukua Mdude na kuondoka nae kwa mwendo wa kasi. Baada ya kuondoka mashuhuda wa tukio hilo wameenda kutoa taarifa kituo cha polisi Vwawa lakini bado hawajachukua hatua yoyote.
Nimezungumza na baadhi ya mashuhuda waliokua eneo la tukio, Mbunge wa Viti maalumu Songwe mama Sophia Mwakagenda, na Mgombea ubunge wa Vwawa Ndg.Fanuel Mkisi ambao wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Tunaomba tupaze sauti kwa nguvu ili Mdude apatikane akiwa salama.!
Kwani ni matusi basi sema tu ukweli anaoandika ni ukweli ambao hamuutaki kuusikia asilaniHuyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri
Huyu apaNdio Nani huyo mdude
Wewe hebu acha kupotosha watu. Kasome Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, hakuna sehemu imeandikwa polisi wanapomkamata mtu awe maarufu au yoyote wanapaswa kuutarifu umma. Jukumu la polisi ni kumuarifu mtuhumiwa mwenyewe sababu za kumkamata na si vinginevyo. Hiyo ya viongozi wa mtaa kujulishwa ni pale wanapotaka kufanya upekuzi na siyo kukamata.Inategemea kama ni MTU anayefahamika akizuiliwa na polisi umma ujulishwa,MTU wa kawaida uongozi wa mtaa na majirani ujua. Acheni kukwapua watu mtasaga meno mbele ni kujibu historia
😁😁😁Halafu bado wameenda kuripoti polisi. [emoji16][emoji16][emoji16] daah
Kwa siasa za kipumbavu hizi ndio zimtoe magufuli madarakani...? hebu kueni serious kidodo chadema
Wamemuua kwani?Kauli chafu haihalalishi kuondoa uhai wake,sasa endeleeni kumpa maneno matamu mkidhani anamfurahisha wakati mnazidi kumpoteza kwenye ramani.
Baada ya hali ya hewa ya mbeya kuchafuka vibayaWasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Huyu kijana ana matusi sana..nadhan hakupata malezi mazuri