MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
So sad..Mwenyezi Mungu amnusuru saa hizi anachezea kichapo cha kufa mtu huku akiwa kazibwa macho ili asiwaone wabaya wake huku kukiwa na mwanga mdogo sana.
Watekaji walikuwa na vya moto
Ndio maana zacharia kule Musoma aliwatandika risasi wakaamua kumfungulia kesi ya uhujum uchumi badala ya kesi ya kudhuru maana waliona hawatachomoka.
Dawa yao ni kupambana nao ikibidi kuwaua ili wanyooke.
Mie wamenishangaza majiran wa hapo ofisini jaman..mnashuhudia vurugu mmeangalia tu...dah
Uje au niaje? Umenishtuka kidogo aisee[emoji16]
Vipi mambo mkuu? Za masiku?
Mkuu kuhesabu siku kutafanya arudi.??? siku wananchi tukiacha uoga na kudeal na hawa watekaji ndio suluhu ya haya mambo yatapatikana
Siku gani hyo?
Mkuu soma title ya uzi, halafu ukija kuniuliza tena ndio nitakujibu
Wakuu, tuliyeambia kwenye taarfa ya habari TBC1 kuwa anajulikana alipo na kwamba wakubwa wanajua, ni nani?Ben Rabiu Saanane ana miaka sasa
Azory gwanda ana siku 500+
Mdude chadema day one
Mungu ibariki Tanzania
Naomba wapenda amani popote duniani ulipo kila ukiamka andika namba ya siku hiyo tunaanza Leo ambapo mdude chadema ametekwa
Day 1
"Ukishaonja nyama ya mtu huachi," aliwahi kusema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (RIP). Kwa sasa idadi ya walioonja nyama ya Watanzania wenzao yaonekana inaongezeka kwa kasi ya kutisha awamu hii..je kwa kasi hii tutabaki salama?
Yana mwisho wake,,nchi ni ardhi wenye ulafi nayo wataiacha pia
Nishasoma mkuu
Ndio Nani huyo mdude