Atakuwa kadhulumu watu huyo, acha wamshikishe adabuWasiojulikana kile kitengo maarufu cha Dikteta pale Ikulu ili kuwanyamazisha wanaomkosoa kwa kuwateka, kuwatesa na hata kuwaua kimeibuka tena kwa kasi ya kutisha.
Itafutwe suluhu la yote, kwa Mwendo huu hatiwezi kufika salama kama Taifa, tujali utu, Mungu anatuona siku akianza kujibu tukubali matokeo.Mbunge wa Kibamba kupitia CHADEMA, John Mnyika kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter amesema kuwa Chadema Mdude amechukuliwa na Watu wenye silaha
Aidha, yeye mwenyewe amesema CHADEMA inafuatiloa suala hilo na taarifa zaidi itatolewa muda si mrefu
View attachment 1088177
Unawafundisha namna ya kumkamata mtuhumiwa??Watawakana kumteka kisha baada ya mwezi waseme alikua anahojiwa.
Wiki nzima wakili wa arusha alikua anatafutwa bila mafanikio, baada ya jamii kuanza kupiga kelele ndo wanajitokeza kusema hakutekwa bali ana hojiwa .
Kama nia yao ni nzuri kwanini wawavizie katka ukamataji. ? . Kwanini iwe siri. ? kwanini watumie magari yasiyo na namba za utambulisho? .
Kwanini serikali isihusishwe na utekaji. ?
Ni kitengo maalumu cha Ccm na wala hakipo ikulu
Unawafundisha namna ya kumkamata mtuhumiwa??
mwanaume kamilifu hawezi kuwa hivi. Mtu mwanaume hanisi ndiye kila siku anaandika rubbish namna hii!! wewe ukoje?Nissan ya Mbowe baada ya kumshughulikia Lisu kwa jina bandia imerudi kivingine tena?
I say fight now!all are criminalsMagari mawili aina ya Nissan Patrol na Toyota Landcruzer (yasiyo na namba za usajili) yakiwa na watu kadhaa wenye silaha za moto wamevamia eneo la kazi la Ndugu Mpaluka Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema dakika chache zilizopita. Mdude ni fundi wa Computer na masuala ya IT na ofisi yake ipo maeneo ya Vwawa, huko Mbozi.
Watu hao wamefyatua risasi moja hewani na kuwaamuru watu wote waliokuwemo kulala chini kisha wakamchukua Mdude na kuondoka nae kwa mwendo wa kasi. Baada ya kuondoka mashuhuda wa tukio hilo wameenda kutoa taarifa kituo cha polisi Vwawa lakini bado hawajachukua hatua yoyote.
Nimezungumza na baadhi ya mashuhuda waliokua eneo la tukio, Mbunge wa Viti maalumu Songwe mama Sophia Mwakagenda, na Mgombea ubunge wa Vwawa Ndg.Fanuel Mkisi ambao wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Tunaomba tupaze sauti kwa nguvu ili Mdude apatikane akiwa salama.!