google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
ukipata majibu haki unitag . hivi haya maswali yako umemuuliza nani vile ?Watawakana kumteka kisha baada ya mwezi waseme alikua anahojiwa.
Wiki nzima wakili wa arusha alikua anatafutwa bila mafanikio, baada ya jamii kuanza kupiga kelele ndo wanajitokeza kusema hakutekwa bali ana hojiwa .
Kama nia yao ni nzuri kwanini wawavizie katka ukamataji. ? . Kwanini iwe siri. ? kwanini watumie magari yasiyo na namba za utambulisho? .
Kwanini serikali isihusishwe na utekaji. ?