Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiHahahahaaaaa....
Haya majamaa kupenda sifa yaani hayaoni hata aibuAmeyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Unafikiri anaumwa?, ukiwa ccm wanakutoa akili, wanajaza uji wa sukariAtakuwa anaumwa huyu sio bure
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unafikiri anaumwa?, ukiwa ccm wanakutoa akili, wanajaza uji wa sukari
Halafu simba wakitolewa watakaa kimya kabisa kama maji mtungini
Hapo nmekuelewa MkuuUnafikiri anaumwa?, ukiwa ccm wanakutoa akili, wanajaza uji wa sukari
Wakati Rais Magufuli akiikabidhi Timu ya Simba kombe la Ligu Kuu ya Tanzania bara msimu wa 2017/2018 pale Uwanja wa Taifa jijini Dar esd Salaam , aliitaka timu hiyo kuongeza juhudi ili kufanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa na hasa Masindano ya Klabu bingwa barani afrika ili kulileta Kombe nyumbani.
Bila shaka Timu ya Simba ilimuelewa vema Rias. Hili Kombe linaweza kuja Tanzania Safari hii.
Kwa hiyo hata zile five walizopigwa ilikuwa ni mikakati ya ccm?Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii