John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

John Mongella: Ushindi wa Simba ni Utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Ameyasema hayo katika ufunguzi wa kikao cha maafisa mawasiliano serikalini kinachoendelea muda huu jijini Mwanza na kurushwa live na TBC1. John Mongella ni mkuu wa mkoa wa Mwanza.
Haya majamaa kupenda sifa yaani hayaoni hata aibu
 
Wakati Rais Magufuli akiikabidhi Timu ya Simba kombe la Ligu Kuu ya Tanzania bara msimu wa 2017/2018 pale Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam , aliitaka timu hiyo kuongeza juhudi ili kufanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa na hasa Mashindano ya Klabu bingwa barani Afrika ili kulileta Kombe nyumbani.

Bila shaka Timu ya Simba ilimuelewa vema Rais. Hili Kombe linaweza kuja Tanzania Safari hii.


 
Wakati Rais Magufuli akiikabidhi Timu ya Simba kombe la Ligu Kuu ya Tanzania bara msimu wa 2017/2018 pale Uwanja wa Taifa jijini Dar esd Salaam , aliitaka timu hiyo kuongeza juhudi ili kufanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa na hasa Masindano ya Klabu bingwa barani afrika ili kulileta Kombe nyumbani.

Bila shaka Timu ya Simba ilimuelewa vema Rias. Hili Kombe linaweza kuja Tanzania Safari hii.



Muwe mnaona aibu, mnapenda sifa mpaka mnatia kichefuchefu
 
Ni kweli uwanja mzuri uliojengwa na serikali ya CCM na sera nzuri za mchezo zilizowekwa na CCM kumeletelea huu ushindi mnono.CCM hoyeeee.Simba hoyeeeeee Chadema ziiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kwa hiyo hata zile five walizopigwa ilikuwa ni mikakati ya ccm?
 
Back
Top Bottom