Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaNi vyema. Na wengine wanaozushiwa wajitokeze ili wazushi waumbuliwe.
Chanzo ni ccm....kiongoz akiwa Johntatizo limeanzia wapi hadi nchi kuwa namna hiyo??
Oneni hayaHasa Ufipa wamejazana kamati za roho mbaya!
Sawa basi wanaofahamika nao wakanushe.Huyo bwashee anajulikana na nani hadi azushiwe kifo?
Hahaha Bwashee hata kama hajulikani lazima aweke taarifa sawa maana kwa wanaomfahamu walistuka.Huyo bwashee anajulikana na nani hadi azushiwe kifo?
Hahahaaaa, labda ingekuwa ni Lyatonga.Hahaha Bwashee hata kama hajulikani lazima aweke taarifa sawa maana kwa wanaomfahamu walistuka.
Upendo amri iliyo kuu, tupendane na tuombeane heriSawa basi wanaofahamika nao wakanushe.