Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 7,681
- 9,575
Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
Yule mzee aliyehoji maazimio ya Dodoma ilikuwaje?.Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Yule mzee aliyehoji maazimio ya Dodoma ilikuwaje?.
Usijitoe ufahamu kiasi hiki.
Hoja za G55 ni nzito sana.Zinapapaswapapaswa tuSio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
Hivi haya yangelifanyika Ccm mngelivumilia?Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Ndio ule utapeli wa 4Rs, nusu mkate. John Mrema kama alivyo FAM ni waumini wa maridhiano feki.Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
BaaasiCUF nacho ni chama, akagombee huko
Mkutano Mkuu wa CHADEMA kupitisha no reforms no election ulifanyika January 20 2025 kama miezi miwili na nusu, wote hao walikuwepo kwenye Mkutano Cha kushangaza ghafla baada ya Lissu kushinda ndipo wanaanza kudai maoni tofauti. Kwenye Mkutano Mkuu walikaa kimya, hao unawasaidiaje. Juzi wameitwa watia nia wote , wao wakagoma kwenda.
Hivi haya yangelifanyika Ccm mngelivumilia?
Embu jibu bila kuegemea upande.
Utapingana na hoja mliyokubaliana katika vikao halali vya chama wakati ukiwa wewe ni mjumbe mmojawapo?Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.
Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Wakifukuzwa wewe unaumia nn?Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.
Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Wakifukuzwa wewe unaumia nn?
Sasa amechallenge kitu gani? Kwanini sasa na sio wakati anabeba mikoba ya boss wake? Kwanini asingeanza ku challenge wazo lilipoasisiwa aje ku challenge kwenye utekelezaji? Hiininqhitaji degree kujua kua ana subotage? Mbona hawakua na balls kuhudhuria mkutano wa watia nia ulioitishwa na chama? Hoja yake kubwa ni swala la RuzukuNdo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
CCM kwann mmemvua uanachama Mzee aliyehoji maamuzi ya Dodoma?Mtu akitofautiana mtazamo/msimamo na Mwenyekiti suluhisho ni kumfukuza?
Kuna kanuni gani wamevunja G55?
Sasa amechallenge kitu gani? Kwanini sasa na sio wakati anabeba mikoba ya boss wake? Kwanini asingeanza ku challenge wazo lilipoasisiwa aje ku challenge kwenye utekelezaji? Hiininqhitaji degree kujua kua ana subotage? Mbona hawakua na balls kuhudhuria mkutano wa watia nia ulioitishwa na chama? Hoja yake kubwa ni swala la Ruzuku