mbarika
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 7,676
- 10,342
Aende nccr akaungane na yule popoma mwenzake shilling thelathiniAende TLP
Aende nccr akaungane na yule popoma mwenzake shilling thelathiniAende TLP
Hao wanaliwa vichwa mapema tuuNinachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.
Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Vp yule mzee aliyefukuzwa ccm kuhoji maazimio ya 19 Jan DODOMA?Mtu akitofautiana mtazamo/msimamo na Mwenyekiti suluhisho ni kumfukuza?
Kuna kanuni gani wamevunja G55?
Hao wanaliwa vichwa mapema tuu
Kwa nn umjibu mtu aliye asisi kauli mbiu halafu anakuja kugeuka anataka apewe ufafanuz wakat yeye mwenyewe ndiyo alitengenezaNi kweli, watafukuzwa uanachama. Lakini hoja zao hazitajibiwa.
Njaa ni Mbaya mkuu.. tuikatae.Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
Hata ccm kupo hivyo. Ni kudhibiti wasaliti. Kama hukuweka hoja kikaoni kaa kimya ama kaa pembeni.Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.
Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Shida ununuzi na ufadhili unatoka chama jirani,huku akitaka aendelee kukihudumia chama chake huku akikihujumu.Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Mrema weeeee katika ubora wakoNdo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Sio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
Hiyo ndio demokrasia anayohibiri Lissu na genge lake la wahuni!Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Vipi kuhusu CCM, Kuna mwanachama alienda mahakamani kupinga uteuzi wa wagombea nafasi ya Urais na Makamu wa Rais wa chama chake kuwa haukufuata katiba ya CCM. Una habari kashafukuzwa uanachama? Ukiwa unaleta hoja kuwa na references na usiwe biased.Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Ningekuwa mamlaka za chama chake ningemvua uanachama mara mojaSio kwa povu lile. Huyu Mheshimiwa atakua ameahidiwa kutangazwa mshindi kwenye matokeo ya uchafuzi hapo Oktoba 2025. Alindwe kwa gharama zote
Hata sisi CCM mtu akipinga agenda tunamfukuza sisi ni wakubwa kuliko chademaNdo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
Huyu Chivundu ni tapeli, Mzee Godfrey Malisa kahoji kilichotokea Kamati ya CCM Januari Mwaka huu Dodoma alifukuzwa mara moja. Enzi za Magu walioimba 'tunaimani na Lowasa' wote wapata misukosuko ya hatari. Au CCM ni chama kidogo Cha siasa?Yule mzee aliyehoji maazimio ya Dodoma ilikuwaje?.
Usijitoe ufahamu kiasi hiki.
KabisaAende nccr akaungane na yule popoma mwenzake shilling thelathini
Kanuni ya collective responsibility unaijua au huwa Unaisikiaga tu? Ukitaka kupinga maamuzi ya balaza ni Sharti kwanza ujiuzuru kabla ya chochote.Mtu akitofautiana mtazamo/msimamo na Mwenyekiti suluhisho ni kumfukuza?
Kuna kanuni gani wamevunja G55?