Tetesi: John Mrema aliahidiwa "kutangazwa" mshindi Jimbo la Segerea

Tetesi: John Mrema aliahidiwa "kutangazwa" mshindi Jimbo la Segerea

Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
ccm wako vizuri sana hata yule aliye pinga mama kuteuliwa hakusakamwa wala kusemwa
 
Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.

Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Tatizo yalikua maamuzi ya vikao halali vya chama na wengi walipitisha hayo maazimio Leo hii uwejevwapinge? Si usaliti huo? Vp kuhusu yule Mzee wa ccm alihojibkule Dodoma kwenye mkutani mkuu. Nini kilimpata
 
Back
Top Bottom