Tetesi: John Mrema aliahidiwa "kutangazwa" mshindi Jimbo la Segerea

Ndo shida ya Chadema mtu akiwa "Challenge" kidogo mnaanza propaganda kwamba amenunuliwa. Chama chenu ni chama kikubwa lazima mpate upinzani wa ndani. Mtafukuzana sana kwa hali hiyo.
Sehemu yeyote kwenye wengi kuna fikra mbadala. Kaeni chini mtafute maridhiano.
 
Yule mzee aliyehoji maazimio ya Dodoma ilikuwaje?.
Usijitoe ufahamu kiasi hiki.
 
Mkutano Mkuu wa CHADEMA kupitisha no reforms no election ulifanyika January 20 2025 kama miezi miwili na nusu, wote hao walikuwepo kwenye Mkutano Cha kushangaza ghafla baada ya Lissu kushinda ndipo wanaanza kudai maoni tofauti. Kwenye Mkutano Mkuu walikaa kimya, hao unawasaidiaje. Juzi wameitwa watia nia wote , wao wakagoma kwenda.
 
Hivi haya yangelifanyika Ccm mngelivumilia?
Embu jibu bila kuegemea upande.
 
Kukaa kimya sio kukubali, hapakuwa na upigaji kura, wao kiu yao ni kugombea.
Mnaweza kuwafukuza ila msitake maamuzi fulani yasipingwe, lazima watu watofautiane mtazamo.
 
Hivi haya yangelifanyika Ccm mngelivumilia?
Embu jibu bila kuegemea upande.

Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.

Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
 
Utapingana na hoja mliyokubaliana katika vikao halali vya chama wakati ukiwa wewe ni mjumbe mmojawapo?

Hoja zote huwa digested kwenye vikao, siyo kama wanavyofanya hawa bhana.

Ndiyo maana nikakuuliza namna
Walivyofanya hao g55, kama wangelikuwa ni wajumbe wa kamati kuu ya Ccm, kukawa na agenda iliyopitishwa, kisha wajumbe kadhaa baada ya kutoka kwenye kikao waanze kupaza sauti za kutokukubaliana!

Hoja imekaa hivyo.

Je Wasira ama Samia angelisema kwamba hao wanatumia haki yao ya kutoa maoni?
 
Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.

Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Wakifukuzwa wewe unaumia nn?
 
Sasa amechallenge kitu gani? Kwanini sasa na sio wakati anabeba mikoba ya boss wake? Kwanini asingeanza ku challenge wazo lilipoasisiwa aje ku challenge kwenye utekelezaji? Hiininqhitaji degree kujua kua ana subotage? Mbona hawakua na balls kuhudhuria mkutano wa watia nia ulioitishwa na chama? Hoja yake kubwa ni swala la Ruzuku
 
G55 wame "challenge" msimamo wa chama hivi sasa wa "No reform, no election" na wametoa hoja zao na barua imefika kwa Mnyika.

Mrema anateteaje/ananufaikaje na Ruzuku wakati sio kiongozi wala so far?
Atanufaikaje na hizo Ruzuku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…