Tetesi: John Mrema aliahidiwa "kutangazwa" mshindi Jimbo la Segerea

ccm wako vizuri sana hata yule aliye pinga mama kuteuliwa hakusakamwa wala kusemwa
 
Ninachokataa mimi ni kile mtu/watu wakipingana na Mwenyekiti au na msimamo flani wa chama basi anaonekana msaliti ndani ya chama.
Naona hii dhana, mnaiendeleza hata Mbowe aliitumia sana.

Sio muda utasikia wamefukuzwa uanachama. 😁
Tatizo yalikua maamuzi ya vikao halali vya chama na wengi walipitisha hayo maazimio Leo hii uwejevwapinge? Si usaliti huo? Vp kuhusu yule Mzee wa ccm alihojibkule Dodoma kwenye mkutani mkuu. Nini kilimpata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…