BAVICHA Taifa
Senior Member
- Jul 25, 2013
- 117
- 661
Mbaya zaidi waliowengi kwa maslahi yao hata Kama mbaya inaletwa kwa hati ya dharura na kupitishwa tu kwa kusema ndioooooooo.Mwaka huu tutaheshimiana tu!!
Sheria walizozituna wenyewe sasa zimeanza kuwatafuna.
Anaweza kukatwa na wajumbe wa NECNEC wakimkata JPM si ni hatari
Naona mapingamizi ya Lissu wala hayasemwi. Na hata press yake sijui imezimwa kulinda heshima ya mzee...NEC wakimkata JPM si ni hatari
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCM inaonewa sana uchaguzi huu,CCM ishatukanwa,ishapakqziwa kila tuhuma.
ila sawa tu Mungu yupo mwisho wa siku Mungu ataisimamia CCM na itapata ushindi wa kishindo Inshallah.
Subirini huyo msaliti wa taifa akatwe ndo mtajua uzuri wa hayo mapingamizi.NEC wakimkata JPM si ni hatari
Hahahaha unamuelewa kwa yale mambo Ovu?Dah ila namuelewaga sana bonnah
Hapo mmenipa mtihaniii
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app