Uchaguzi 2020 John Mrema amuwekea pingamizi Bonnah Kamoli (CCM)

Uchaguzi 2020 John Mrema amuwekea pingamizi Bonnah Kamoli (CCM)

CCM inaonewa sana uchaguzi huu,CCM ishatukanwa,ishapakqziwa kila tuhuma.
ila sawa tu Mungu yupo mwisho wa siku Mungu ataisimamia CCM na itapata ushindi wa kishindo Inshallah.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gabi hawaelewi hapo kuhusu majina.
Huyo ni mkimbizi,kwahiyo arudi kwao rwanda...ccm ni kichaka cha wahamiaji haramu
 
Huyo ni mkimbizi,kwahiyo arudi kwao rwanda...ccm ni kichaka cha wahamiaji haramu
Hahahhaa mzee nyamaza kabisa ukianza kusaka nani ni mtanzania halali hapa unaweza jikuta hata ww ulitakiwa kuwa sero ukisubili urudishwe kwenu.

Nchi yeyote yenye maendeleo Duniani ni nchi iliyokubali wageni tunaitaji akili ya kuleta maendeleo kwani akichimba visima Segerea au akijenga hospital segerea mwanao akienda shule na kukaa ktk madarasa mazuri je anaefaidika ni mtoto wa Kigali au Gisenyi ?
 
Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gabi hawaelewi hapo kuhusu majina.
Hapo unajiona umekuja na utetezi wa maana kweli. Hebu rudi kwenye pingamizi kama limetaja jina la Moses? Wenzako wanajua wanachokifanya!
 
Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gabi hawaelewi hapo kuhusu majina.
Unajua nini maana ya deed poll?
 
Form two civics kuna uraia wa aina tatu.... Kama she was born in Tanzania bila kujali wazazi wake sio watanzania huyo ni mtanzania kwa kuzaliwa...
Its not just kuweka pingamiz lakini mapingamiz yawe na maana...
Umetajiwa sheria ya uhamiaji sio civics ya form 2
 
Kuna mambo ya msingi ya kuweka sawa kwa watanzania na hili halina uhusiano wa moja kwa moja na pingamizi hili;

1. Wahamiaji haramu hujiweka karibu sana na viongozi wakuu wa kisiasa kwa lengo la kujihalalisha.
2. Kutokana na 1 hapo juu, hutafuta madaraka ya kuteuliwa na kuchaguliwa na viongozi wengi dhalimu huwapenda kwa nia ya kuwakandamiza na kuwatesa wazawa katika maamuzi ya kisheria au kiutawala.
3. Wakipata madaraka hawajali maumivu ya raia kutokana na maamuzi yao kwa kuwa siyo ndugu zao.

Mamluki wengi wametumika katika utawala tangu enzi na enzi.

Angalizo;
Haya ni maoni ya kuelimisha tu na wala hayamlengi aliyewekewa pingamizi kwa kuwa simfahamu zaidi ya kusikia habari zake kwenye duru za siasa.
 
CCM inaonewa sana uchaguzi huu,CCM ishatukanwa,ishapakqziwa kila tuhuma.
ila sawa tu Mungu yupo mwisho wa siku Mungu ataisimamia CCM na itapata ushindi wa kishindo Inshallah.
Bado mtapiga sana hayo ma-duwa ya kuku!! Si ulituchosha na matusi humu, tulikua tunakuangalia tu, na tunakuangalia tu, pambio zinakata sasa mnakemea pepo, limewang’ang’ania halitoki!!
 
Back
Top Bottom