Uchaguzi 2020 John Mrema amuwekea pingamizi Bonnah Kamoli (CCM)

Uchaguzi 2020 John Mrema amuwekea pingamizi Bonnah Kamoli (CCM)

Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gabi hawaelewi hapo kuhusu majina.
Ni mambo ya kiufundi tu hayo.Ukibugi watu wanakupiga hapohapo.
 
Kitambulisho cha taifa, Taifa linamtambua kama nani??? na kwanini Taifa limtambue kwa Jina lingine na akaombe dhamana kwa jina lingine???
Huyu n wakuadhibiwa akawe fundisho kwa wengine
 
Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gabi hawaelewi hapo kuhusu majina.
muwe mnasoma vizuri umeambiwa Kuna kaluwa,kamoli na kambi kwny usajili wa nida umekimbilia kaluwa
 
ccm inawakumbatia sana hawa wahamiajia haramu wanaouvuka boda kufata malisho ya mifugo nchini kwetu kisha wanajisogeza karibu na ccm ili kujificha,ndo wanaoilipa fadhila ccm kwa kuuwa na kukatakata mapanga na kumwaga damu za ndugu zetu kila uchaguzi ukaribiapo
 
bona atoe vyeti tujue asili yake,kwanza aligoma na aliwaambia majimbo yenye madiwani upinzani atowaletea maendeleo na ni kweli hakuna alichofanya,hizi tabia za kibaguzi sio za kitz ni za jamii zile zile zilizofata malisho ya mifugo nchini mwetu
 
Back
Top Bottom