Chadema wanaangaika sana hv wameshindwa kujua Bonna aliachana na aliyekuwa mumewe Mr Moses Kaluwa ? Bonna alikuwa anatumia jina la mumewe ,Bonnah Kaluwa alibadili majina yake na sasa yanasomeka kama 'Bonnah Kamoli lakini tovuti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado imeendelea kutumia majina yake ya awali ya ‘Bonnah Moses Kaluwa. sasa ni kitu gani hawaelewi hapo kuhusu majina.
Kubadili jina ni swala la kisheria mkuu. Unataka kusema account yake ya benki inasoma Bonna Kaluwa na akiombwa kutoa kitambulisho akatoa cha Bonna Komoli atachukua pesa??
Kitambulisho chake cha taifa, mpiga kura na hati ya kusafiria vilipaswa kuonesha mabadiliko hayo.
Acha utani bwana