Uchaguzi 2020 John Mrema amuwekea pingamizi Bonnah Kamoli (CCM)

Kubadili jina ni swala la kisheria mkuu. Unataka kusema account yake ya benki inasoma Bonna Kaluwa na akiombwa kutoa kitambulisho akatoa cha Bonna Komoli atachukua pesa??

Kitambulisho chake cha taifa, mpiga kura na hati ya kusafiria vilipaswa kuonesha mabadiliko hayo.

Acha utani bwana
 
mimi naona bidada ana majina matat
bonah kulwa
bonah kamoli
bonah kambi

atuambie hao wote wamemuacha au anafoji vyeti
au ndo jasusi wa pk pale mjengoni
 
Huyo ni mkimbizi arudi kwao rwanda
 
Huyu dada hakuna alichofanya huku segerea zaidi ya kututia hasara tu. Barabara ni mbovu kuanzia tabata Bima hadi huko kimanga yote urudi chang'ombe kuelekea kinyerezi....
 
Huyu dada hakuna alichofanya huku segerea zaidi ya kututia hasara tu. Barabara ni mbovu kuanzia tabata Bima hadi huko kimanga yote urudi chang'ombe kuelekea kinyerezi....
Mmmh Kumbeeeee. Sasa wanaomchagua wanapaa angani nini, mashimo hayawahusu!
 
Nasikia kwa sasa ni nyumba ndogo ya yule msomali wa Nzega
 
Siasa ni mchezo usiohitaji hasira Jana habari ilikuwa kupita bila kupingwa leo Ni Pingamizi kwenda mbele kuanzia Kesho taarifa Ni pingamizi kutupiliwa mbali na NEC.​

😀😀 certified for sequential arrangements
 
Kitambulisho cha taifa, Taifa linamtambua kama nani??? na kwanini Taifa limtambue kwa Jina lingine na akaombe dhamana kwa jina lingine???
Huyu n wakuadhibiwa akawe fundisho kwa wengine
Sipati picha tabasamu pana la ex mume wake huko aliko kama atakatwa....
 
Nadhani tatizo ni unyumbu tu. Tangu lini nyumbu hubadili uelekeo kulingana na mazingira? Yeye huenda mbele bila kujali anakoenda ni wapi.

Ila mkuu umenipoza moyo! Nilishapotezana na akili zangu hapa. Jamaa alivyoshuka essay hapo juu, nikahisi ni kweli 100%
 
Kitambulisho cha taifa, Taifa linamtambua kama nani??? na kwanini Taifa limtambue kwa Jina lingine na akaombe dhamana kwa jina lingine???
Huyu n wakuadhibiwa akawe fundisho kwa wengine
Asante popoma wangu nyumbu mkalia mgongo badala ya makalio.
 
bona ni mbaguzi sawa na bossi wake kwa kuyabagua maeneo yenye wapinzani kuyanyima maendeleo huku wakiwaibia kodi zao.
alishinda sababu yakubebwa na tume kutowatendea haki cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…