Uchaguzi 2020 John Mrema arejesha fomu ya kuomba Ubunge wa Jimbo la Segerea - CHADEMA

Uchaguzi 2020 John Mrema arejesha fomu ya kuomba Ubunge wa Jimbo la Segerea - CHADEMA

Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii
Chadema ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na wakapikika sana kuitawala na kiuongozi kama huyu mtia nia wa jimbo la Segerea. UVCCM imebaki kuwa kama kambi yenye kuwahifadhi mateja mpaka ina walizimu viongozi wao kutafuta vipaji kupitia ushawishi wakuunga mkono juhudi kutoka vyama vya upinzani ama kuwarudisha madarakani tena kwa mara ya pili wale waliokwisha kuwahi kutumbuliwa.
 
Huyo jamaa ukimtazama kwa makini anaonekana kabisa ananulika tena kwa bei poa.
 
Back
Top Bottom