East African
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 704
- 993
Mbona Kilimanjaro hakuna mswahili?tusiombe kufika hapo katika siasa za nchi yetu, tukifika hatua hii tutakuwa tunayakaribisha matatizo wacha agombee wanasegerea wataamua.
2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kilimanjaro hakuna mswahili?tusiombe kufika hapo katika siasa za nchi yetu, tukifika hatua hii tutakuwa tunayakaribisha matatizo wacha agombee wanasegerea wataamua.
Ila huyu bwana mdogo alitakiwa akamlambishe ruba Mbatia kule Vunjo!wala hatutaki aende mbali tunataka alambe jimbo tu
Kwani wewe ni nani mpaka useme hivyo? Roho mbaya haijengini haki yake kikatiba ila hafiki popote
Kwani aliekuwepo ni mzawaAende kwao Kilimanjaro Segerea wanataka mzawa kipindi hiki
Segerea kuna mzawa gani? wazawa wameuza viwanja wapo Kisarawe sasa hiviAende kwao Kilimanjaro Segerea wanataka mzawa kipindi hiki
Kwahiyo Mrema ni mzungu au mhindi?Mbona Kilimanjaro hakuna mswahili?
2020
Chadema ina hazina kubwa ya viongozi waliopikwa na wakapikika sana kuitawala na kiuongozi kama huyu mtia nia wa jimbo la Segerea. UVCCM imebaki kuwa kama kambi yenye kuwahifadhi mateja mpaka ina walizimu viongozi wao kutafuta vipaji kupitia ushawishi wakuunga mkono juhudi kutoka vyama vya upinzani ama kuwarudisha madarakani tena kwa mara ya pili wale waliokwisha kuwahi kutumbuliwa.Hakuna haja yoyote ya kumwelezea huyu mtu, anafahamika, kikubwa ni kutambulisha jimbo analolinyemelea , baaaasiiii
Segerea wazawa ni watu gani?Aende kwao Kilimanjaro Segerea wanataka mzawa kipindi hiki
Tume, tuma, tume huru.Daaaah mpaka kaamua kuingia ulingoni. Huyu ndo strategist mkubwa wa Chadema, namuona kabisa akichukua jimbo mapeeema