PreGE2025 John Mrema atetea Maamuzi ya Tume ya Uchaguziji dhidi ya CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Njaa Njaa, Mrema Change ya Regime inamtesa sana Ile kuondolewa Kwenye Secretariat Kuna Mtafuna sana na Njaa imemfika haswa mangi uyu
 
Moja ya Mafanikio Makubwa ya Tundu Lissu kwenye uongozi wake Chadema ndani ya miezi michache tu tangu achaguliwe kuwa Mwenyekiti ni Ku expose namna siasa za Upinzani nchini Tanzania zilivogubikwa na Madalali wa Kisiasa kama hawa kina Mrema na Wenzao ACT na vile vyama vya maigizo.

Saivi huwezi kuwashauri lolote Watanzania juu ya hawa wapumbavu.
 
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.

Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.

Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha kuwa Tume ya uchaguzi ipo sahihi kuizuia CHADEMA kutoshiriki uchaguzi kwa sababu hawajasaini kanuni za uchaguzi.

Wakati CHADEMA na wadau mbalimbali wameeleza kuwa siku zote sheria na kanuni zinazotungwa na chombo chochote, ikiwa ni pamoja na zile za Tume ya ucjaguzi ni lazima zizingatie Sheria mama, yaani katiba ya nchi. Na zikiwa kinyume au zinakizana na katiba, sheria au kanuni hizo zinakuwa Null and Void. Maana yake zinakuwa ni batili. Lakini John Mrema ameonesha kuwa kanuni yoyote inayotungwa na Tume ya uchaguzi ni final.

Kwa Mrema, leo hii, Tume ya uchaguzi hata ikaandika kwenye kanuni kuwa wagombea watakaokiuka taratibu wacharazwe fimbo, kwake ni sawa, kwa sababu ni kanuni iliyotungwa na Tume ya uchaguzi!!

Kwa sasa, John Mrema, ameelekeza mapambano yake dhidi ya CHADEMA, na siyo dhidi ya sheria, kanuni na mifumo gandamizi ya uchaguzi. Mrema anasema kuwa watu ambao wamekuwa wakifa wakati wa uchaguzi ni wachache kuliko wale ambao watakufa wakati wa kuzuia uchaguzi. Kwake yeye, ni aheri watu waendelee kufa kidogo kidogo kwente chaguzi batili kuliko kupambana mara moja, halafu mkapata mifumo ya haki ya kusimamia uchaguzi ifakayoondoa hatari zozote za watu ama kuuawa, kuumizwa au kuonewa wakati wa uchaguzi.

Watanzania, wamepoteza muda wao mwingi ndani ya CHADEMA ya akina John Mrema, wakijua wanapigania haki, kumbe yumkini waliowatangulia mbele ni mamluki dhidi ya mapambano ya haki.

Mungu yu mkuu. Amewafichua na kuwaanika mamluki wote. Sasa kuna uwezekano mkubwa mapambano dhidi ya wadhulumaji wa haki na demomrasia, yatafanikiwa.

Mod, tafadhali naomba urekebishe kichwa cha mada kisomeke .... Uchaguzi...na siyo ....Uchaguziji..
We ni mwehu Mrema ana akili asikilizwe. Hayo mapambano mtakayofanya mara moja mtategemea watakufa watu wangapi na mtafanya lini kwa njia na kwa njia ipi. Dogo acha utoto hakuna kima atajitokeza ht pua kuzuia uchaguzi. Km una hamu ya kufa jitokeze wakati wowote ukamsalimie Magu
 
Chadema sasa akili imewarudi
 
We ni mwehu Mrema ana akili asikilizwe. Hayo mapambano mtakayofanya mara moja mtategemea watakufa watu wangapi na mtafanya lini kwa njia na kwa njia ipi. Dogo acha utoto hakuna kima atajitokeza ht pua kuzuia uchaguzi. Km una hamu ya kufa jitokeze wakati wowote ukamsalimie Magu
Nahoji tu why mnatishia kifo kwenye hayo mapambano? Kwan ni kikundi cha waasi kitaenda kupigana kwa silaha?

Issue iliyoko mezani ni kubadili taratibu tu, it simple
Why mnaongezea vitisho as if ni national distater? Ishu ndogo kama hiyo
 
John Mrema, kwenye conference yake ya leo na wanahabari, kwa mtu ambaye hamjui, angedhani ni msemaji wa Tume ya ucjaguzi.

Wale waliokuwa na mashaka na G55 unayoongozwa na John Mrema, leo wamepata jibu la wazi.

Katika kikao chake na vyombo vya habari, Mrema ametumia muda wake mwingi kuonesha kuwa Tume ya uchaguzi ipo sahihi kuizuia CHADEMA kutoshiriki uchaguzi kwa sababu hawajasaini kanuni za uchaguzi.

Wakati CHADEMA na wadau mbalimbali wameeleza kuwa siku zote sheria na kanuni zinazotungwa na chombo chochote, ikiwa ni pamoja na zile za Tume ya ucjaguzi ni lazima zizingatie Sheria mama, yaani katiba ya nchi. Na zikiwa kinyume au zinakizana na katiba, sheria au kanuni hizo zinakuwa Null and Void. Maana yake zinakuwa ni batili. Lakini John Mrema ameonesha kuwa kanuni yoyote inayotungwa na Tume ya uchaguzi ni final.

Kwa Mrema, leo hii, Tume ya uchaguzi hata ikaandika kwenye kanuni kuwa wagombea watakaokiuka taratibu wacharazwe fimbo, kwake ni sawa, kwa sababu ni kanuni iliyotungwa na Tume ya uchaguzi!!

Kwa sasa, John Mrema, ameelekeza mapambano yake dhidi ya CHADEMA, na siyo dhidi ya sheria, kanuni na mifumo gandamizi ya uchaguzi. Mrema anasema kuwa watu ambao wamekuwa wakifa wakati wa uchaguzi ni wachache kuliko wale ambao watakufa wakati wa kuzuia uchaguzi. Kwake yeye, ni aheri watu waendelee kufa kidogo kidogo kwente chaguzi batili kuliko kupambana mara moja, halafu mkapata mifumo ya haki ya kusimamia uchaguzi ifakayoondoa hatari zozote za watu ama kuuawa, kuumizwa au kuonewa wakati wa uchaguzi.

Watanzania, wamepoteza muda wao mwingi ndani ya CHADEMA ya akina John Mrema, wakijua wanapigania haki, kumbe yumkini waliowatangulia mbele ni mamluki dhidi ya mapambano ya haki.

Mungu yu mkuu. Amewafichua na kuwaanika mamluki wote. Sasa kuna uwezekano mkubwa mapambano dhidi ya wadhulumaji wa haki na demomrasia, yatafanikiwa.

Mod, tafadhali naomba urekebishe kichwa cha mada kisomeke .... Uchaguzi...na siyo ....Uchaguziji..
Mrema ni Pro-Mbowe na ni mjinga sana huyu Mrema. Hajui anachofanya simply.
 
Pesa za abduli ilisikika Mara kadhaa
 
Kipindi hiki wanachama wa chadema, wanatakiwa wahangaike na kesi ya mwenyekiti wao, na si kuleta malumbano.
 
Wakati mgodi wake huyu anaongea haya Mrema alikuwa anashangilia.
 
Mpasuko chamani
Chadema ina makundi mengi,kulikuwa Covid hakuna kiongozi yeyote alieyedai kuhusika.

Kabla pare tulikuwa na wakina Kitambi,Lijuakali na wenzake waliohamia CCM kwa speed ya radi,utadhani mbwa kaona chatu.

Akaja one man show Mchungaji Msigwa aliempelekea moto Mwenyekiti Mbowe.

Mara wamekuja G55 ya Mrema wao hawaonji sumu,wameishachonga mzinga nadhani wanaenda NCCR kurudisha legacy yake.
Nasikisia na kundi la Wazenj pia wanaojiona kama wanatumika kwa maslahi ya viongozi wa bara.

All in all hatukutegemea kama kuna Radioactive Elements ndani ya Chadema zenye kukirudisha chama kwenye old stone age.

Kuna kundi au taasisi inayocheza michezo michafu,na haikosei kutupa mkuki karibu na moyo.
 
Du! Chadema ilifuga misukule mingi sana yaani kila ukifikia level ya kuwaamini anatokea mjinga sasa unashindwa kujua hata umwamini nani sasa. Nikajua walipotoka wale wengi huenda waliisha kumbe hawa nao walikuwepo
 
Yani ni balaa. CCM ilifanikiwa kupandikiza mamluki akina Mrema mpaka kwenye sekretarieti ya CHADEMA. Adui wa ndani, tena ndani ya uongozi, ni hatari zaidi kuliko adui wa nje.

Mrema anataka kuwahakikishia CCM kuwa hata akiwa nje ya uongozi anaweza kue delea na majukumu yake aliyopewa na CCM, ya kuidhoofisha CHADEMA. Anataka kuhalalisha malipo anayoyapokea toka CCM.
 
Bado hamjasema mtasemana tu.Kwa sababu kila tukio la utekaji na mauaji Katibu wenu Mkuu alikuwa analijua na anapeleka kwenye vyombo vya habari. Mtasemana tu in due time.
Kama Lisu amesema atakinukisha amekamatwa, na Mbowe alibambikiwa kesi ugaidi, ingekuwa wapinzani ndio wanaendesha hayo mauaji wangeishia jela. Katafute wa kuwapoteza maboya.
 
Ni Mrema ndio anatoa hiyo siri.Anasema chama chenu ni cha visasi na chuki.Na kila alietekwa Katibu Mkuu alikuwa anajua kabla.Add one and one.The clock is ticking.
 
Huyu ana wivu kwa sababu ameachwa kujumuishwa kwenye Sekretariat ya CHADEMA. Hana chake.
 
Kwenye haya maisha usije ukafikiria kila anaeenda nawewe sambamba mtafanana mawazo kwenye kila kitu!
Kwenye hii dunia ni kosa kumuamini binadamu mwenzio kuliko wewe mwenyewe unavyo jiamini.
 
Lisu aliwezaje kushinda uenyekiti katika mfumo uliosheheni viongozi wasaliti kama hawa? Pengine ndo maana hofu imetanda na wanaotetea mifumo ya ukandamizaji.
 
Ni Mrema ndio anatoa hiyo siri.Anasema chama chenu ni cha visasi na chuki.Na kila alietekwa Katibu Mkuu alikuwa anajua kabla.Add one and one.The clock is ticking.
Kwakuwa mnamtumia ni muda sahihi kumtaka awape ushahidi.
 
Back
Top Bottom