Mfano ukweli gani?Mtu akisimamia ukweli mnasema anatumika..
Tangu amalize chuoChadema imekamatwa pabaya...!
Wizi wa mitihani ni jambo baya sana.Mtu akisimamia ukweli mnasema anatumika..
Anaandika akiwa X badala ya kwenda kukaa na mgonjwa hospitali? Hela walizohongwa na ccm zitawatokea kwenye tundu baya.Soma mwenyewe uone toka a/c yake huko X......
Umezoea kusema uongo sana na ndio imekuwa silaha yako mara zote kushambulia watu na kuwafanyia bullying ili wakae kimya .
Kwa taarifa yako siku za nyuma nilipokuwa kiongozi nililazimika kuukalia kimya uongo wako ili kulinda maslahi mapana ya taasisi huku nikiumizwa binafsi ,kwa sasa sitakaa kimya tena kwani nimeshajua kuwa kumbe kukaa kimya dio laxima iwe ni BUSARA ila wakati mwingine unawapa maadui wigo wa kutamba na kusambaza uongo dhidi yako.
Kuhusu matamko nilipokuwa kwenye nafasi hiyo yapo mtandaoni na unaweza kuyasoma yalitolewa wakati gani na ya aina gani .
Kuhusu Mdude , wewe umefahamiana naye juzi ,yeye ni shahidi kuwa alipotekwa na kupotezwa nilitoa kauli kwa uzito mkubwa , sihitaji kujitetea kwako .
Kuhusu Soka , najua huko aliko kama anaweza kuusoma huu uongo atakuwa analia kwa uchungu sana .
Nimemfahamu Soka tangu mwaka 2021 na nilikutana naye nyumbani kwake nikiwa nasajili wanachama kidigital (pilot project) kule Ulongoni A. Akawa kijana wangu na hata alipofungua biashara Kinondoni alinifuata kwenda kumsaidia kukagua eneo la biashara yake .
Nimekuwa naye wakati wote anafuatilia mirathi yake Dodoma .nk nisiseme mengi as hakuna sababu ,akirudi atakuwa shahidi .
Kwamba nilifanya naye kikao ofisini siku moja kabla ya kutekwa ni UONGO ,kwani wakati anatekwa sikuwa DSM .Kuwa nilileta watu wa mfumo ofisini hilo unaweza kulithibitisha wewe kwani umezidi uongo ambao ndio mbinu yako ya kufanya BULLYING ILI MTU /WATU WANYAMAZE ......sitakaa kimya .
Nikipata wasaa mzuri nitaandika kuhusu mnavyowauza vijana kwa kuwaita Nairobi ,na kuwatuma bila kuwapa kinga yoyote ile ,wakati ninyi mkiwa ughaibuni mnawatuma front ,wakipata matatizo mnatafuta wa kuwatwisha zigo looote kuwa ninyi hamhusiki .....
Nimetumia wajibu wangu kama mwanachama kwa mujibu wa katiba ibara ya 5.3.4 wa kuwa tayari kupambana na aina yoyote ya ukandamizaji,unyanyasaji,udhalilishaji,uonevu na ubaguzi .
Sigrada ,anastahili kutendewa mema kama kiongozi na mwanachama ,hastahili kubagazwa ,kutishiwa au kudhalilishwa wakati huu akijiuguza ,hata kama humpendi utu wake una dhamani kubwa .
Jifunze kuheshimu utu wa wenzako ,jifunze kuwa na utu na sio unasukumwa na chuki na ubaguzi kuwa Sigrada anasitahili anayoyapitia na wakati huohuo unalaumu dola kutokutenda haki kwa wengine .
Eid Mubarak .
Hao walipewa hela nyingi na ccm ili Mbowe arejee kwenye nafasi ya uenyekiti. Na waliwahakikishia Lisu hawezi kuwa mwenyekiti. Sasa kibao kimegeuka inabidi wafanye marejesho kwa njia hii.Ninavyo fahamu, Ofisi nyingi za Umma huwa na taratibu rasmi za kufikisha maoni kama unayo, ambapo Kwa level za Chama cha Siasa huwa wanawasilisha kwenye Ofisi ya Katibu Mkuu
Kwa hali ya mapambano ilivyo kuelekea Uchaguzi Mkuu, nilitegemea wanachama na wafuasi wote wa Chadema wawe pamoja wakati huu
Hii njia anayoitumia huyo John Mrema, binafsi naona sio sawa
Ndiyo inawapa nafasi wasio na mema na Chama, waitumie kama Karata ya kuwagawa
Aisee ni hatari sana Kwa mustakabali wa Siasa za upinzaniHao walipewa hela nyingi na ccm ili Mbowe arejee kwenye nafasi ya uenyekiti. Na waliwahakikishia Lisu hawezi kuwa mwenyekiti. Sasa kibao kimegeuka inabidi wafanye marejesho kwa njia hii.
Dikteta uchwara wamechemka na kikosi chao cha mauaji utekaji na udhalilishaji rejea maneno ya dkt slaa!Anaandika akiwa X badala ya kwenda kukaa na mgonjwa hospitali? Hela walizohongwa na ccm zitawatokea kwenye tundu baya.
Kamuulize Slaa yuko wapi kwa sasa, na ule msamaha aliomba wa nini? Kakae na mgonjwa hospitali boss.Dikteta uchwara wamechemka na kikosi chao cha mauaji utekaji na udhalilishaji rejea maneno ya dkt slaa!
John Mrema ameamua kuwa mkweli na genge la dikteta uchwara hawapendi kuambiwa ukweli!Tangu amalize chuo
Wizi wa mitihani ni jambo baya sana.
John mrema hajawahi kufanya kazi yyte tangu amalize/ Ali disco UDSM 2006. Hajawahi kufanya kazi popote zaidi ya chadema. Sasa yupo nje ya chamq, unaweza ukajua na kuona frustrations zinavyo muathiri
Ni huyu aliwahi kusema anataka kufukuzwa uwanachama siyo?
Kama kila ukweli ni ukweli tuanze nataarifa ya CAG kwanza
Wewe unajua maana ya ukweli?John Mrema ameamua kuwa mkweli na genge la dikteta uchwara hawapendi kuambiwa ukweli!
Umeshashiba mchemsho wa nguruwe na kushushia na K Vant sasa unaleta ushuzi wako humuMbona lissu hakuchukua ya ccm wakati anambamiza Mbowe?
Ukweli waMfano ukweli gani?
Muulize Mbowe na Hilda Newton wanazo taarifa upo chadema lakini hujui!Wewe unajua maana ya ukweli?
Ben sanane yupo wapi?
Ndio mjue wajinga ndio wali wao msamaha si hata wewe unaweza omba wa kinafiq tu!Kamuulize Slaa yuko wapi kwa sasa, na ule msamaha aliomba wa nini? Kakae na mgonjwa hospitali boss.