Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Wakati Lowassa anajiunga CHADEMA huyo Mrema si ndiyo alikuwa kiongozi mwandamizi pale CHADEMA? Inakuwaje leo atake kuonesha kuwa hahusiki?hapana chadema ilishazikwa toka lowasa aingie apo
Huyo mdhamini aliyekuja na Lowassa CHADEMA mwaka 2015 nani alimkaribisha kama siyo hao hao kina Mrema na wenzake walipokuwa ni viongozi waandamizi wa CHADEMA?
Kwa nini wanashutumu matendo yao wenyewe waliyotenda wakati wakiwa CHADEMA, jee hiyo ni ishara kuwa walikuwa CHADEMA kwa maslahi yao binafsi huku wakihujumu jitihada za kujenga upinzani imara Tanzania?