Tahira huyu Mrema kwanini asigepinga wakati ule.?Wakati Lowassa anajiunga CHADEMA huyo Mrema si ndiyo alikuwa kiongozi mwandamizi pale CHADEMA? Inakuwaje leo atake kuonesha kuwa hahusiki?
Huyo mdhamini aliyekuja na Lowassa CHADEMA mwaka 2015 nani alimkaribisha kama siyo hao hao kina Mrema na wenzake walipokuwa ni viongozi waandamizi wa CHADEMA?
Kwa nini wanashutumu matendo yao wenyewe waliyotenda wakati wakiwa CHADEMA, jee hiyo ni ishara kuwa walikuwa CHADEMA kwa maslahi yao binafsi huku wakihujumu jitihada za kujenga upinzani imara Tanzania?
Wanasema ukitaka kuruka agana na nyonga. Huyu mrema anafikiri watanzania wa leo ni wale wa 1990s. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.
Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.
Kwani kukulia Ikulu ni dhambi? CHADEMA ikishika dola itawafukuza watu wote waliopo Ikulu?Ruth Mollel alikulia Ikulu maisha take yote?
..alikuja lini na nani walikuwepo si hoja, na zipo nafasi ndani ya serikali zina viapo muhusika hapaswi kukiuka kiapo mojawapo ni hizo nafasi alizoshika mama mollel serikalini, mtu wa namna hiyo hawezi kuaminiwa kwa nafasi km hiyo ya kuwa mwenyekiti au mjumbe wa bodi ya wadhamini..bado anafungwa na viapo huko alikokuwa..hivi ni vigumu sana kuelewa haya..? wala si hisia ndio ukweli.Sasa hapa unaleta hisia. Kuna watu wengi tu ni wafia CHADEMA lakini zamani walikuwa ni CCM kindaki ndaki.
Unatakaje "Civil servant" wa miaka ya themanini asiwe aliwahi kuwa mwana CCM enzi za mfumo wa chama kimoja?
Hoja yangu Luth Molell kaja wakati kina Mrema wakiwa ni viongozi waandamizi ndani ya chama na wakampokea. Leo miaka 10 baadae ndiyo wanajua kuwa kumbe alikuwa anafanya kazi Ikulu?
..kwani kuondolewa ikulu ni dhambi? lazima iwaondoe km inataka kusimamia mabadiliko wanayotaka.Kwani kukulia Ikulu ni dhambi? CHADEMA ikishika dola itawafukuza watu wote waliopo Ikulu?
Hoja yangu kwani Kuna kizingiti gani kwa mtu kuwa mwanachadema kama aliwahi kufanya kazi Ikulu?..kwani kuondolewa ikulu ni dhambi? lazima iwaondoe km inataka kusimamia mabadiliko wanayotaka.
Hizi stori za mitaani usizigeuze kuwa kweli. Kwani Ruth Molell alikuwa anafanya kazi gani Ikulu?..alikuja lini na nani walikuwepo si hoja, na zipo nafasi ndani ya serikali zina viapo muhusika hapaswi kukiuka kiapo mojawapo ni hizo nafasi alizoshika mama mollel serikalini, mtu wa namna hiyo hawezi kuaminiwa kwa nafasi km hiyo ya kuwa mwenyekiti au mjumbe wa bodi ya wadhamini..bado anafungwa na viapo huko alikokuwa..hivi ni vigumu sana kuelewa haya..? wala si hisia ndio ukweli.
Sasa mbona yeye anyosha kidole alikotokasiasa ni michezo, mtu kutoka chama kimoja kwenda kingine ni HAKI YAKE kabisa na hatakiwi kunyooshewa vidole kwan sio kosa
Alitakiwa kusema wamenunuliwa kutoka ChademaMkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.
Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.
huyu hajazoea majukwaa ni mtu wa ofisini tu na kula ruzuku, bora chama kama kimenunuliwa na watenda haki mchwa metoroka bure kabisaMkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.
Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.
ndo siasa ilivo, tatizo nyie mnataka chadema iwe kama mtu akiondoka apo basi aonekane msaliti, no you have to move onSasa mbona yeye anyosha kidole alikotoka
sisi tunaelewana hio mada, punguza mihemkoWewe ni ZEZETA. Mtu anaongea watu wanazomewa wanajibu. Hiyo ni Mara usifikili wa kuburuzwa na undezi wenu
Huyu bwana hata mie ni class mate wangu. Hana tu uwezo hata wa kuwa VEO. Nilimjua tangu akiwa PM wa waitara. Hamna kitu muleJohn Mrema tulikuwa wote Chuo Kikuu ila sikuwahi kujua ana upeo mdogo kiasi hiki!
Sasa Ruth Molell kuwa Mwenyekiti wa Bodi Kuna shida gani?
Kwanza Mama Ruth Molell ni mama mwenye weledi na integrity kubwa sana na CHADEMA kuwa naye ni hazina.
Hakuna Jimbo lolote John Mrema anaweza kusimama na kushinda UBUNGE katika JMT.
Sijasema au Ku imply kuwa ni dhambi, nauliza tu ilikuaje akakulia maisha take yote Ikulu?Kwani kukulia Ikulu ni dhambi? CHADEMA ikishika dola itawafukuza watu wote waliopo Ikulu?
Wanaosema alikulia Ikulu wamesahau kuwa wenyewe walipokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA ndipo Ruth Mollel alikuwa mbunge wa viti maalum?Sijasema au Ku imply kuwa ni dhambi, nauliza tu ilikuaje akakulia maisha take yote Ikulu?
Nani anasema kuna kizingiti..? kwa muda wote toka siasa za vyama vingi zianze serikali na chama tawala wamekuwa wanaweka watu wao kwenye vyama vya siasa kwa nia ya kuvidhoofisha na hatimae vife..hicho ndicho kinaleta hoja ya chadema kuwa waangalifu wao wenyewe na watu wanaokujaHoja yangu kwani Kuna kizingiti gani kwa mtu kuwa mwanachadema kama aliwahi kufanya kazi Ikulu?
Una maana gani kusema stori za mitaani..Lowassa hakurudi alikotoka, sumaye je..na wengine wengi, nini maana ya kiapo mtu anapoapa kutotenda kinyume na kiapo..? angalia kinachofanyika usibaki na nadharia, ni afisa gani mwandamizi wa serikali mstaafu kwa level ya katibu mkuu yuko upinzani toka vyama vya siasa vianze, taja jina..Hizi stori za mitaani usizigeuze kuwa kweli. Kwani Ruth Molell alikuwa anafanya kazi gani Ikulu?
Hizi stori za kusema mtu akiwa shushushu huwa anaendelea kuwa shushushu maisha yake yote ni stori za vijiweni tu.
Na CHAUMA imefanyaje?Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.