PreGE2025 John Mrema: CHADEMA 'imeuzwa' ndiyo maana tumeondoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
usipende kujipa moyo sehem ambayo haina uhalisia, hatusemi ccm haina mapungufu but ukijumlisha ccm na mapungufu yake chama gan kingine kinaakaribiana utenda kazi wa ccm?

..ruzuku ya 3.2 billion kila mwezi, msaada wa vyombo vya dola, na fedha za mafisadi, ndio siri ya mafanikio ya Ccm.

..hakuna chama cha siasa kitashindwa kustawi Tanzania ikiwa kitapewa mbeleko waliyonayo Ccm.
 
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.

Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.

Huko Serengeti wamezomewa na kidogo wapigwe mawe na wakurya 🤔🤔🤔

View: https://youtu.be/O_ZKzfhlr6A?si=qWAObtkT-eGcddwO

Halafu waandishi wa habari wamekula pesa sana. Cheki hizo kamera zote eti yote hii ni kujaribu kupromoti kinyesi (mavi) yasiyouzika

CHADEMA INAMILIKI MAGENGE YA WAHUNI, HATARI SANA.
 
..una ujinga wa kurithi
Sawa.

Huna hoja kuhusu Ruth Mollel. Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchukua hoja za Mrema na kuzifanyia rejea.

Maana mnaandika kama vile Ruth Mollel ni hatari kwa usalama wa CHADEMA kisa aliwahi kufanya kazi Serikalini na alikuja CHADEMA akiwa na Lowassa mwaka 2015. Hoja ya kijinga kabisa.

Hao kina Mrema, Kigaila Ruge, kilewo, Ntobi na wenzao wengi tu waliotoka CHADEMA ni lini waliwahi kufanya kazi Ikulu?

Zama za kina Walid Kaburou, Samson Migamba, Joshua Nassari, Juliana Shonza na kundi lake la kina Mtela Mwampamba wakati wanatoka, nani kati yao aliwahi kufanya kazi Ikulu?

Watu hurithi mali lakini wengine Kwa hiyari yao wenyewe wameamua kujirithisha upumbavu wa zama za kale!! Ni dhambi kutamani kufikiri kama watu wa zama za mawe!!
 
Pengine una sababu zako kutetea uwepo wa ruth chadema..wote aliokuja nao walirudi walikotoka, chadema wana tatizo kubwa la kuwa na mamluki kati yao wanaofanya usaliti kwa kificho na badae kwa uwazi..sifa za mtu kujiunga na chama haziondoi uwezekano wa kufanya background check ili kuona km atakifaa chama au yupo kwa malengo mengine..kwa mtu anayeishi chini ya kiapo huhitaji kuuliza sana juu ya kiapo chake na royalty yake kwa chama..sabab bado anatumikia kiapo chake huko alikotoka, ukidharau km mbuni kufukia kichwa mwili wote uko nje..siku zote mtatafuta mchawi wakati mchawi ni nyinyi wenyewe kwenye chama.
 
Hapana! kwa hili la mwenyekiti wa bodi ninakubaliana na mrema..huyo mama mollel..a big No! nilijua aliondoka chadema halafu mmempa uenyekiti wa bodi..mna matatizo makubwa chadema, ndio maana mnasumbuliwa na vitoto vidogo wazee wazima mnabaki kulalama..kumbe makosa mnayafanya nyinyi wenyewe..! Kwa nini chama hakiwezi kuwa na security clearance ya senior members? Hasa viongozi na wanaoomba uongozi..? Na huyo mama mollel hamtafika popote!
Sasa wewe kinakushangaza mtu kuhamia chadema na angalau kukaa miaka zaidi ya kumi na ndio akapewa uongozi lakini hushangai mwongeaji ambae amehamia chama hata wiki Hana tayari amepewa uongozi? Hawa mabwege hayaoni boriti kwenye macho yao?
 
Wewe ungelikuwa na akili timamu ungelijibu hoja yake. Kumbuka John Mrema ni "insider" wa kweli kweli Chadema mara milioni ya wewe mwenye jina bandia JF! Unaweza hata ukawa ni akili mnemba iliyotengenezwa na John Mrema huyo huyo! Ahahahahaha!!
Walizoea kula ruzuku sasa chama kimerudi kwa wananchi wenyewe.
Acha wale ubwabwa huko walipo kwa hisani ya ccm
 
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.

Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.

kwahiyo kauza chadema kaenda kununua chauma kwa bei che dah ila mchaga anapenda ma dili ya kubakiwa na machenji
 
..kwani hoja ni ukubwa wa chama au kuondolewa madarakani wakati husika ukifika? bila kujali ukubwa, mali, jeshi...nk huwezi kupinga au kuzuia muda wa ukomo wa jambo ukifika!
ccm hauwezi kuitoa hata muungane vyama vyote vya upinzan, cha kukusaidia komaa na kazi upate hela ccm huwezi kuitoa
 
..ruzuku ya 3.2 billion kila mwezi, msaada wa vyombo vya dola, na fedha za mafisadi, ndio siri ya mafanikio ya Ccm.

..hakuna chama cha siasa kitashindwa kustawi Tanzania ikiwa kitapewa mbeleko waliyonayo Ccm.
kwan 2015 ruzuku ya chadema ilikua kiasi gan walikua wanapokea kiasi gan kutoka kwa wanachama, chama kiliishia wap?
 
..sikumbuki 2015 ruzuku ya Chadema ilikuwa kiasi gani, lakini nina uhakika ilikuwa chini ya 3.2 BILLIONS ambazo CCM inachotewa na Msajili kila mwezi.
 
..maneno ya mtu ambaye hajashiba lkn kavimbiwa..
ata kipofu ukimwambia tafauti iliopo ccm na vyama vingine atakupa jibu kabisa chama kipi kitaendelea kua madarakani, hamshauriki endeleeni ivo ivo
 
..sikumbuki 2015 ruzuku ya Chadema ilikuwa kiasi gani, lakini nina uhakika ilikuwa chini ya 3.2 BILLIONS ambazo CCM inachotewa na Msajili kila mwezi.
kama hukumbuki basi tulia, chadema is a failed party na hata sio party maaana kila mtu ndan anajikuta mwana harkati badala ya kufanya siasa
 
..harakati ndizo hutueleza wapi panapovuja, ili tupazibe. Wanaharakati ni watu wenye uzalendo.
 
Back
Top Bottom