PreGE2025 John Mrema: CHADEMA 'imeuzwa' ndiyo maana tumeondoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wanaosema alikulia Ikulu wamesahau kuwa wenyewe walipokuwa viongozi waandamizi wa CHADEMA ndipo Ruth Mollel alikuwa mbunge wa viti maalum?

Sasa kwani Ruth Mollel alikuwa anafanya kazi gani huko Ikulu ambayo Ina madhara kwa sasa kwa CHADEMA?
..aliyemteua wakati huo kuwa ikulu ndie anawatakia mema chadema leo? unauliza madhara wakati mbowe amekaa mahabusu kwa kesi za kutengeneza lkn kwa context chama kina ajenda ya kufanya ugaidi, nani aliwaambia waliomkamata kwamba chama kina plan ya kufanya ugaidi km si hao miongoni mwao chadema wanapeleka taarifa za uongo huko walikotoka..
 
..aliyemteua wakati huo kuwa ikulu ndie anawatakia mema chadema leo? .
Kwamba Ruth Mollel aliteuliwa na nani? Kuna aliyemteua ambaye bado yupo Ikulu? Unajua kuwa Ruth Mollel ana miaka 74 sasa?

Mtu mwenye miaka 74 unajua kama kustaafu ni miaka zaidi ya 14 Sasa imepita?
 
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.

Mrema ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika siku ya Jumatano Juni 04, 2025, Mjini Musoma mkoani Mara katika mwendelezo wa Operesheni ya CHAUMMA For Change (C4C).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

"Chama chenu leo kimekabidhiwa kwa mtu aliyeishi Ikulu maisha yake yote mpaka alipostaafu, akajiunga nacho 2015, Edward Lowassa akampendekeza awe mbunge, wenzake wawili walisharudi CCM, yeye kumbe alibaki kimkakati, leo kakabidhiwa CHADEMA, ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini, halafu mnasema chama hakijauzwa, nendeni mtafakari", ameeleza Mrema.

Aliyewehuka amewehuka tu chadema imeuzwa kweli njaaa na kukosa akili ni kitu mbaya sana.
 
Hilooooooo mirijaaaaaa imekataaaaa unaliaaaliaaaaa nabadooo
 
Kama kilichozikwa kinaitikisa CCM hivi, kikifukuliwa si itaishia kukabidhiwa nchi hata bila uchaguzi?
kinatikisa vp sasa, chadema ata muungane na vyama vyote cya upinzan na tuwape na baadhi kutoka kwetu kuishinda ccm haiwezekan
 
Mimi siyo mfuasi wa chama chochote kile, lakini nimejaliwa macho yanayoona na akili yenye akili!

Ukweli ni kwamba CHADEMA ni tishio kwa CCM!
 
kwa lipi sasa, ccm ndo chama kikubwa kuliko vyote afrika na cha 10 duniani
 
Kwamba Ruth Mollel aliteuliwa na nani? Kuna aliyemteua ambaye bado yupo Ikulu? Unajua kuwa Ruth Mollel ana miaka 74 sasa?

Mtu mwenye miaka 74 unajua kama kustaafu ni miaka zaidi ya 14 Sasa imepita?
..aliteuliwa na kikwete? au aliteuliwa na Rais, alikuwa anaripoti kwa nani..kwa kikwete au kwa Rais? mwajiri wake alikuwa nani..
Mbona unakuwa km unalazimisha kuwa mjinga.
 
kinatikisa vp sasa, chadema ata muungane na vyama vyote cya upinzan na tuwape na baadhi kutoka kwetu kuishinda ccm haiwezekan
..wewe unaweza zuia mama mjamzito kujifungua km wakati wa kujifungua umefika?
 
usipende kujipa moyo sehem ambayo haina uhalisia, hatusemi ccm haina mapungufu but ukijumlisha ccm na mapungufu yake chama gan kingine kinaakaribiana utenda kazi wa ccm?
 
Kwamba Ruth Mollel aliteuliwa na nani? Kuna aliyemteua ambaye bado yupo Ikulu? Unajua kuwa Ruth Mollel ana miaka 74 sasa?

Mtu mwenye miaka 74 unajua kama kustaafu ni miaka zaidi ya 14 Sasa imepita?

..Ninavyokumbuka Mama Ruth Mollel alikuwa miongoni mwa Wazee wa Chama waliosimamia uchaguzi wa Chadema.

..Mama Mollel ametumikia serikalini muda mrefu, wakati wote akiwa mwana Chadema ameonyesha kuwa na misimamo na kujitambua.
 
usipende kujipa moyo sehem ambayo haina uhalisia, hatusemi ccm haina mapungufu but ukijumlisha ccm na mapungufu yake chama gan kingine kinaakaribiana utenda kazi wa ccm?
CCM siyo tu kwamba kina mapungufu, bali pia kimepoteza muelekeo!
 
..aliteuliwa na kikwete? au aliteuliwa na Rais, alikuwa anaripoti kwa nani..kwa kikwete au kwa Rais? mwajiri wake alikuwa nani..
Mbona unakuwa km unalazimisha kuwa mjinga.
Usikuze mambo. Kwani ruth Mollel alikuwa anafanya kazi gani ambayo alikuwa anawajibika moja kwa moja kwa Rais?
 
ndo siasa ilivo, tatizo nyie mnataka chadema iwe kama mtu akiondoka apo basi aonekane msaliti, no you have to move on
CHADEMA ilipotea imagine hao ndo walikuwa baadhi ya viongozi wa juu matapeli matupu Ndo maana yanalia mirija ya kukatwa baada ya upinzani halisi wa lissu na Heche kuingia ulingoni
 
kinatikisa vp sasa, chadema ata muungane na vyama vyote cya upinzan na tuwape na baadhi kutoka kwetu kuishinda ccm haiwezekan
Sasa shida inakuwa nini mbogamboga kukubali uwanja huru eti Rais ndo anateua hiyo tume ya uchaguzi halafu naye pia akiwa ni mshindani si ujanja mtupu huo.
haimake sense kabisa
 
..Ninavyokumbuka Mama Ruth Mollel alikuwa miongoni mwa Wazee wa Chama waliosimamia uchaguzi wa Chadema.

..Mama Mollel ametumikia serikalini muda mrefu, wakati wote akiwa mwana Chadema ameonyesha kuwa na misimamo na kujitambua.
Mrema angeachana na hizi siasa za mambo taka. Ruth Mollel anastahili heshima hata kama hayuko upande wao.

Nimeona pia akimsemea ovyo Zitto Kabwe kuhusu ACT-WAZALENDO kukaribisha watu kuungana nao. Hilo nalo ni kosa.

A concentrate katika kutofautisha sera za chama chake na zile za CCM na ACT-WAZALENDO ili wananchi wawapigie kura katika uchaguzi ujao.

Amandla...
 
..Nakubaliana na wewe.

..makombora yote ya vyama vya upinzani yanatakiwa kuelekezwa kwa Ccm.
 
usipende kujipa moyo sehem ambayo haina uhalisia, hatusemi ccm haina mapungufu but ukijumlisha ccm na mapungufu yake chama gan kingine kinaakaribiana utenda kazi wa ccm?
..kwani hoja ni ukubwa wa chama au kuondolewa madarakani wakati husika ukifika? bila kujali ukubwa, mali, jeshi...nk huwezi kupinga au kuzuia muda wa ukomo wa jambo ukifika!
 
Back
Top Bottom