PreGE2025 John Mrema: CHADEMA 'imeuzwa' ndiyo maana tumeondoka

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
hapana chadema ilishazikwa toka lowasa aingie apo
Wakati Lowassa anajiunga CHADEMA huyo Mrema si ndiyo alikuwa kiongozi mwandamizi pale CHADEMA? Inakuwaje leo atake kuonesha kuwa hahusiki?

Huyo mdhamini aliyekuja na Lowassa CHADEMA mwaka 2015 nani alimkaribisha kama siyo hao hao kina Mrema na wenzake walipokuwa ni viongozi waandamizi wa CHADEMA?

Kwa nini wanashutumu matendo yao wenyewe waliyotenda wakati wakiwa CHADEMA, jee hiyo ni ishara kuwa walikuwa CHADEMA kwa maslahi yao binafsi huku wakihujumu jitihada za kujenga upinzani imara Tanzania?
 
siasa ni michezo, mtu kutoka chama kimoja kwenda kingine ni HAKI YAKE kabisa na hatakiwi kunyooshewa vidole kwan sio kosa
 
Jibu murua.
 
John Karukwa na akili
Hapana! kwa hili la mwenyekiti wa bodi ninakubaliana na mrema..huyo mama mollel..a big No! nilijua aliondoka chadema halafu mmempa uenyekiti wa bodi..mna matatizo makubwa chadema, ndio maana mnasumbuliwa na vitoto vidogo wazee wazima mnabaki kulalama..kumbe makosa mnayafanya nyinyi wenyewe..! Kwa nini chama hakiwezi kuwa na security clearance ya senior members? Hasa viongozi na wanaoomba uongozi..? Na huyo mama mollel hamtafika popote!
 
..mambo ya kati yai na kuku kipi kilianza hayatawasaidia, rekebisha kasoro!
 
Huna hoja
 
Ungesema imerejeshwa mikononi mwa raia ningeelewa vyema.
 
Mvuta Bangi mrema anadhani watanzania ni mafala kama yeye bwege wakivyouzwa na mbowe huko chauma ubwabwa kisha mbowe mwenyewe kutokomea na mabilioni kusikojulikana wakagawana na Amos makala
 
Kigaila ni jitu jinga jinga lipenda majungu umbea na vitu vya hovyo sasa huko chauma ubwabwa litawachonganisha hadi wakome
 
Salum mwalimu atawatia mimba wabinti wa Hashim Rungwe, john mrema atamwibia kila kitu maana ni mwizi balaa na kigaila atawavuruga kwa majungu mda si mrefu Chaumaccm itakuwa uwanja wa kusutana kutiana mimba kugombania pesa toka ccm na mambo yote ya hovyo
 
John Karukwa na akili
Wewe ungelikuwa na akili timamu ungelijibu hoja yake. Kumbuka John Mrema ni "insider" wa kweli kweli Chadema mara milioni ya wewe mwenye jina bandia JF! Unaweza hata ukawa ni akili mnemba iliyotengenezwa na John Mrema huyo huyo! Ahahahahaha!!
 
Joni, mbona nawe kura yako uliitumbukiza kwenye sanduku lililokuwa mbele yenu na umma wote wa watanzania tuliwaona mkipiga kura kwa uwazi na zikahesabiwa kwa uwazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…