Uchaguzi 2020 John Mrema jimbo la Segerea sio lelemama, toka mafichoni

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
6,682
Reaction score
11,461
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...

Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda

Leo narudia tena kumtahadharisha ndugu Mrema aanze kampeni mapema maana hajulikani sana ngazi ya jimbo. Hili jimbo si lelemama. Yule dada hajafanya lolote kwa miaka mitano jitahidi kutumia nafasi mapema.

Come out.....

Hili Jimbo linaweza kurudi kirahisi sana kwa Bonah. Naishi huku na wakazi wake wanaona kabisa kwamba, Bonah anaweza kupita tena. Maana huyo Mrema alifanya ufunguzi tu na hakuna kinachoendelea, wakati Bonah anatumia wanamama kuhamasiaha nyuma kwa nyumba. Hata Ratiba ya Mrema haijulikani anatakiwa kufanya amsha-amsha nyingi sana, maana wakazi wa Seregea hawaeleweki
 
Wamelala sana no wonder hata idara ya habari ya chama imelala....
 
Kampeni sio mpk majukwaani tu mkuu ..watu wanafanya hd dor to dor kimya kimya ambayo ina ushindi kwa 70% ..usiishi kwa kukariri
Hata hiyo hafanyi....

Kuna mgombea wa udiwani kata ya segerea yule mama ni balaa. Anapiga door to door akikuta mpo anajichanganya anamwaga sera na kusaidia kazi. Ana kikosi kazi chake cha wamama watatu. Pale chadema wamepata mtu.
 
Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...

Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda

Leo narudia tena kumtahadharisha ndugu Mrema aanze kampeni mapema maana hajulikani sana ngazi ya jimbo. Hili jimbo si lelemama. Yule dada hajafanya lolote kwa miaka mitano jitahidi kutumia nafasi mapema.

Come out.....

Na yule bona kamori kwa kutoa rushwa hajambo, ushauri mzuri
 
Kampeni sio mpk majukwaani tu mkuu ..watu wanafanya hd dor to dor kimya kimya ambayo ina ushindi kwa 70% ..usiishi kwa kukariri
acha ujinga wewe,kampeni ni watu,kama ukifanya kimya kimya utampata nani?
mrema amegundua hapiti,kaamua kujielekeza kwenye michango ya lissu
 
Back
Top Bottom