Uchaguzi 2020 John Mrema jimbo la Segerea sio lelemama, toka mafichoni

Yule jamaa hayuko serious yawezekana hana mvuto kwa wapiga kura.
Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.

Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
 
Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.

Ubungo Mayor Jacob anafanya kampeni lakini inaonekana amemdharau mgombea mwenzake which is suicidal kwake mwenyewe.

Kinondoni CCM watachukua, ila nina wasiwasi kigamboni pia
 
Hata hivyo Lissu hatafika Segerea this time kwa sababu alifanya kampeni kwenye jimbo hilo before.
 
Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.

Ubungo Mayor Jacob anafanya kampeni lakini inaonekana amemdharau mgombea mwenzake which is suicidal kwake mwenyewe.

Kinondoni CCM watachukua, ila nina wasiwasi kigamboni pia
Kigamboni ilikuwa lidondoke 2015 kma sio CUF kuharibu. Na mgombea wa CHADEMA pale ni mzoefu wa siasa za kule. Ana outside chance ya kuleta challenge kwenye sanduku.

Kma sio CUF kupotezewa, yule Kambaya alikua right candidate for Mbagala. Wa CHADEMA yye naona anasaka viti maalum tu sio agressive kivilee.

Dar naona hawakupanga wagombea kimkakati nadhani ni kutokana na madiwani wengi kutimkia CCM hivyo ni kma wameanza upya!! So with time watapata momentum kuelekea 2025 if wakianguka ssa.
 
Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.

Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Nakupa taarifa sahihi na siyo porojo za mitandaoni.

Bonna Kamoli akishinda segerea itakuwa ni moja ya maajabu hapa duniani.

Mrema anafanya kampeni, ila kampeni za sasa hivi kwa ngazi za udiwani na ubunge majukwaani unapoteza muda tu.

Kampeni zinafanyika kwa kuyafikia makundi maalum, vyama vya hiyari, timi za mpira mitaani, vicoba and likes.

Ukimya mnaouna ni ukata wa pesa, wagombea hawana pesa.

Bonna hatopigiwa kura na wanaccm wengi sana, hakubaliki kabisa amini ninachokwambia, kwenye kura za maoni alipita kwa kuhonga mpaka laki tatu kuna wajumbe watata walivuta.

Bonna akipewa tena ubunge kwa njia yoyote ile ni majuto kwa wanasegerea wote, ametumia pesa nyingi sana mpaka dakika hii, mtu wa aina akitangazwa mshindi ndio mmemalizana hamtoonana tena atakuwa bize kurudisha pesa alizotumia kuhonga.

Jimbo la Segerea halihitaji kelele nyingi tayari watu wana maamuzi yao wakiwemo wana ccm wengi tu.
 
Kigamboni ilikuwa lidondoke 2015 kma sio CUF kuharibu. Na mgombea wa CHADEMA pale ni mzoefu wa siasa za kule. Ana outside chance ya kuleta challenge kwenye sanduku.

Kma sio CUF kupotezewa, yule Kambaya alikua right candidate for Mbagala. Wa CHADEMA yye naona anasaka viti maalum tu sio agressive kivilee.

Dar naona hawakupanga wagombea kimkakati nadhani ni kutokana na madiwani wengi kutimkia CCM hivyo ni kma wameanza upya!! So with time watapata momentum kuelekea 2025 if wakianguka ssa.
Isaya Mwita yeye aliamua kutogombea popote au ndiyo safari ya kuelekea kijani?
 
Ubungo unalichukuliaje Jimbo Hili? Ukonga je?
Nipo ukonga! Huku mgombea wa chadema sijawahi kumuona akipiga kampeni. Kuna siku alikuja diwani wa chadema kupiga kampeni yani aibu tupu.
Hapo Ubungo Jacob anajua kutoa mikwara mitandaoni tu lakini kule field hamna kitu.
 
Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.

Ubungo Mayor Jacob anafanya kampeni lakini inaonekana amemdharau mgombea mwenzake which is suicidal kwake mwenyewe.

Kinondoni CCM watachukua, ila nina wasiwasi kigamboni pia
Sijui hizi taarifa huwa mnazitowa wapi?

Mimi nipo kwenye magroup ya ccm ya wasapu, huyu Kilave anapiga kampeni tena kampeni hasa.
 
Katika mipango ya Chadema Dar jimbo la Segerea wanalihitaji kwa nguvu zote, Lisu atarudi Segerea take a note.
Nikweli wanalihitaji pamoja na Kawe, Temeke na Kibamba ndiyo majimbo ambayo kushinda ilikuwa rahisi sana.

Ngoja tusubiri tuone baada ya uchaguzi itakuwaje.
 
Isaya Mwita yeye aliamua kutogombea popote au ndiyo safari ya kuelekea kijani?
Alichukua fomu za Urais ila baada ya hapo sifahamu kma alichukua fomu za udiwani/ubunge.

Kwa jinsi walivyomfanyia uhuni sioni wapi ataenda CCM. Maana alikua moderate sana kwa CCM ila bado walimuengua.

But siasa hazitabiriki.
 
Mkuu ulikua unamfahamu Mtulia au mtolea kabla hawajashinda? Kma ambavyo Mnyika na Mdee walishinda out of nowhere na wabunge wapya utawajua baada ya matokeo kutangazwa.
Mkuu wakati ule na huu ni tofauti kabisa.

Yani kama hapa ukonga mgombea wao hata ahujulikani kabisa.
Kipindi kile upepo wa Lowasa ulifanya wengi washinde na angalau walikuwa wanapita kupiga kampeni.
 
Sijui hizi taarifa huwa mnazitowa wapi?

Mimi nipo kwenye magroup ya ccm ya wasapu, huyu Kilave anapiga kampeni tena kampeni hasa.
Mimi nipo Temeke always kwahiyo ninachokisema nina uhakika nacho pia.
 
Alichukua fomu za Urais ila baada ya hapo sifahamu kma alichukua fomu za udiwani/ubunge.

Kwa jinsi walivyomfanyia uhuni sioni wapi ataenda CCM. Maana alikua moderate sana kwa CCM ila bado walimuengua.

But siasa hazitabiriki.
Huenda kaamua kujiweka kando na siasa kwa muda.
 
Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.

Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Lisu hataweza kubadirisha chochote mkuu
 
Lisu hataweza kubadirisha chochote mkuu
Mkuu siasa za bongo ni upepo na ushabiki yaani kuna watu hufanya maamuzi mwishoni tena kwa vitu vidogo sana.
Lowassa kufungia Dar na Magufuli kufungia kampeni Mwanza nadhani uliona madhara yake!!

Watu wanahamasika na kuamka kesho kupiga kura basing on mgombea wa mwisho waliyemsikia hku wakiwa hawana muda wa kusikiliza counter influence!!
 
Na ndio alichobugi Magufuli kwenda kufungia kampeni Dodoma, wakati Lisu anafungia Dar kwenye kura million 3.5
 
Back
Top Bottom