Uchaguzi 2020 John Mrema jimbo la Segerea sio lelemama, toka mafichoni

Uchaguzi 2020 John Mrema jimbo la Segerea sio lelemama, toka mafichoni

Miaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...

Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda

Leo narudia tena kumtahadharisha ndugu Mrema aanze kampeni mapema maana hajulikani sana ngazi ya jimbo. Hili jimbo si lelemama. Yule dada hajafanya lolote kwa miaka mitano jitahidi kutumia nafasi mapema.

Come out.....


Labda na yeye ataunha juhudi kama mwenzake mtatiro
 
Huyu dogo kazi anayoweza ni kuchangisha hela,Segerea Bona wa CCM anasubiri kuapishwa
Ilibidi wamwachie yule Dada mshindi maana alishajiandaa kisaikolojia miaka mingi tofauti na Mrema aliekurupuka dakika za mwisho.
 
Kila siku tu nakunywa nae Mrema Kitwe bar Bonyokwa mwisho na wala haonenshi kama ana nia kweli ya Ubunge
 
Hapa kweli CDM walionyesha kuwa hawana tofauti na Chama Tawala. Kulikuwa hamna sababu ya kumkata yule binti aliyeshinda na kumpa kijana wao ambae kiukweli hana msukumo au mvuto wa kisiasa! Wakilikosa ni haki yao na yule binti akiwatosa hawezi kulaumiwa. Ovyo kabisa.

Amandla....
 
Yule jamaa hayuko serious yawezekana hana mvuto kwa wapiga kura.
Yule tangu mwanzo hakutakiwa,alishinda mtu mwingine wakina Mbowe wakaona wampe Mrema ambae ni mvutoless,hakika Mrema atanyooshwa ipasavyo.
 
Don't Waste your time Chadema wamekwisha kubali kupoteza Dar Es salaam

Unamjua mgombea ubunge wa Upinzani wa Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mbagala na Temeke au Ukonga.
In short Chadema imelala sana
Mkuu ulikua unamfahamu Mtulia au mtolea kabla hawajashinda? Kma ambavyo Mnyika na Mdee walishinda out of nowhere na wabunge wapya utawajua baada ya matokeo kutangazwa.
 
Yule tangu mwanzo hakutakiwa,alishinda mtu mwingine wakina Mbowe wakaona wampe Mrema ambae ni mvutoless,hakika Mrema atanyooshwa ipasavyo.
Dogo hayuko serious kabisa jimboni hata kampeni hapigi.
 
Back
Top Bottom