Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
[emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe umefanya nini miaka mitano
Mchagga na pesa!Mrema yupo bize anakusanya buku buku zake kutoka kwa wanachama maisha yaendelee
Mimi sio mwanasiasa. Nilipiga kura nikaishia hapo. Namkumbusha Mrema yasije yakamtokea ya Mtatiro na Anatropia....Kwani wewe umefanya nini miaka mitano
Wamelala sana no wonder hata idara ya habari ya chama imelala....Hili Jimbo linaweza kurudi kirahisi sana kwa Bonah. Naishi huku na wakazi wake wanaona kabisa kwamba, Bonah anaweza kupita tena. Maana huyo Mrema alifanya ufunguzi tu na hakuna kinachoendelea, wakati Bonah anatumia wanamama kuhamasiaha nyuma kwa nyumba. Hata Ratiba ya Mrema haijulikani anatakiwa kufanya amsha-amsha nyingi sana, maana wakazi wa Seregea hawaeleweki
Mahaba ya nini mkuu?Mahaba yame kuzidia. Ona yame anza kumwagika sasa
Hata hiyo hafanyi....Kampeni sio mpk majukwaani tu mkuu ..watu wanafanya hd dor to dor kimya kimya ambayo ina ushindi kwa 70% ..usiishi kwa kukariri
Na yule bona kamori kwa kutoa rushwa hajambo, ushauri mzuriMiaka mitano iliyopita niliandika uzi kuhusu jimbo hili baada ya kutomuona mgombea wa wakati huo akifanya kampeni za nguvu...
Julius Mtatiro toka mafichoni Segerea inakwenda
Leo narudia tena kumtahadharisha ndugu Mrema aanze kampeni mapema maana hajulikani sana ngazi ya jimbo. Hili jimbo si lelemama. Yule dada hajafanya lolote kwa miaka mitano jitahidi kutumia nafasi mapema.
Come out.....
Atawakimbia siku sio nyingi maana uongozi wa juu hauna diraHata hiyo hafanyi....
Kuna mgombea wa udiwani kata ya segerea yule mama ni balaa. Anapiga door to door akikuta mpo anajichanganya anamwaga sera na kusaidia kazi. Ana kikosi kazi chake cha wamama watatu. Pale chadema wamepata mtu.
Don't Waste your time Chadema wamekwisha kubali kupoteza Dar Es salaam
Unamjua mgombea ubunge wa Upinzani wa Kinondoni, Ilala, Kigamboni, Mbagala na Temeke au Ukonga.
In short Chadema imelala sana
acha ujinga wewe,kampeni ni watu,kama ukifanya kimya kimya utampata nani?Kampeni sio mpk majukwaani tu mkuu ..watu wanafanya hd dor to dor kimya kimya ambayo ina ushindi kwa 70% ..usiishi kwa kukariri