zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.Yule jamaa hayuko serious yawezekana hana mvuto kwa wapiga kura.
Huenda na yeye ameshahitimisha kwamba hawezi kushinda hivyo kaona atulie tu.Dogo hayuko serious kabisa jimboni hata kampeni hapigi
Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.
Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Jimbo la Segerea lilikuwa jepesi sana kushinda kwa upinzani but huyu Mrema hayuko serious na kampeniHuenda na yeye ameshahitimisha kwamba hawezi kushinda hivyo kaona atulie tu.
Hata hivyo Lissu hatafika Segerea this time kwa sababu alifanya kampeni kwenye jimbo hilo before.Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.
Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Kigamboni ilikuwa lidondoke 2015 kma sio CUF kuharibu. Na mgombea wa CHADEMA pale ni mzoefu wa siasa za kule. Ana outside chance ya kuleta challenge kwenye sanduku.Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.
Ubungo Mayor Jacob anafanya kampeni lakini inaonekana amemdharau mgombea mwenzake which is suicidal kwake mwenyewe.
Kinondoni CCM watachukua, ila nina wasiwasi kigamboni pia
Nakupa taarifa sahihi na siyo porojo za mitandaoni.Nikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.
Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Isaya Mwita yeye aliamua kutogombea popote au ndiyo safari ya kuelekea kijani?Kigamboni ilikuwa lidondoke 2015 kma sio CUF kuharibu. Na mgombea wa CHADEMA pale ni mzoefu wa siasa za kule. Ana outside chance ya kuleta challenge kwenye sanduku.
Kma sio CUF kupotezewa, yule Kambaya alikua right candidate for Mbagala. Wa CHADEMA yye naona anasaka viti maalum tu sio agressive kivilee.
Dar naona hawakupanga wagombea kimkakati nadhani ni kutokana na madiwani wengi kutimkia CCM hivyo ni kma wameanza upya!! So with time watapata momentum kuelekea 2025 if wakianguka ssa.
Katika mipango ya Chadema Dar jimbo la Segerea wanalihitaji kwa nguvu zote, Lisu atarudi Segerea take a note.Hata hivyo Lissu hatafika Segerea this time kwa sababu alifanya kampeni kwenye jimbo hilo before.
Nipo ukonga! Huku mgombea wa chadema sijawahi kumuona akipiga kampeni. Kuna siku alikuja diwani wa chadema kupiga kampeni yani aibu tupu.Ubungo unalichukuliaje Jimbo Hili? Ukonga je?
Sijui hizi taarifa huwa mnazitowa wapi?Atleast Temeke yule Mama anapiga kampeni na wa ccm hapigi kampeni.
Ubungo Mayor Jacob anafanya kampeni lakini inaonekana amemdharau mgombea mwenzake which is suicidal kwake mwenyewe.
Kinondoni CCM watachukua, ila nina wasiwasi kigamboni pia
Nikweli wanalihitaji pamoja na Kawe, Temeke na Kibamba ndiyo majimbo ambayo kushinda ilikuwa rahisi sana.Katika mipango ya Chadema Dar jimbo la Segerea wanalihitaji kwa nguvu zote, Lisu atarudi Segerea take a note.
Alichukua fomu za Urais ila baada ya hapo sifahamu kma alichukua fomu za udiwani/ubunge.Isaya Mwita yeye aliamua kutogombea popote au ndiyo safari ya kuelekea kijani?
Mkuu wakati ule na huu ni tofauti kabisa.Mkuu ulikua unamfahamu Mtulia au mtolea kabla hawajashinda? Kma ambavyo Mnyika na Mdee walishinda out of nowhere na wabunge wapya utawajua baada ya matokeo kutangazwa.
Mimi nipo Temeke always kwahiyo ninachokisema nina uhakika nacho pia.Sijui hizi taarifa huwa mnazitowa wapi?
Mimi nipo kwenye magroup ya ccm ya wasapu, huyu Kilave anapiga kampeni tena kampeni hasa.
Huenda kaamua kujiweka kando na siasa kwa muda.Alichukua fomu za Urais ila baada ya hapo sifahamu kma alichukua fomu za udiwani/ubunge.
Kwa jinsi walivyomfanyia uhuni sioni wapi ataenda CCM. Maana alikua moderate sana kwa CCM ila bado walimuengua.
But siasa hazitabiriki.
Lisu hataweza kubadirisha chochote mkuuNikiri tu ile hama hama ilikata morale kabisa ya wananchi Dar ilihitaji Watu wa amsha amsha kma Lissu mkoa mzima.
Hapo segerea angegombea Assenga au Agnesta. Hawa wangeshinda coz ya sababu ya hapo juu. Otherwise wategemee tu siku ya ufungaji wa kampeni Lissu atumie ushawishi wote alionao akiwa na Ponda na ndio itakua kete ya mwisho otherwise segerea na ubungo kinondoni temeke mbagala ni CCM asubuhi na mapema.
Mkuu siasa za bongo ni upepo na ushabiki yaani kuna watu hufanya maamuzi mwishoni tena kwa vitu vidogo sana.Lisu hataweza kubadirisha chochote mkuu
Mimi nakueleza sasa, yule mgombea wa ccm Mama Kilave anafanya kampeni sana tu, ukumbuke style ya kampeni safari hii mikutano ya jukwani siyo mingi, vita inapiganwa kivietnam mtaankwa mtaa.Mimi nipo Temeke always kwahiyo ninachokisema nina uhakika nacho pia.
Na ndio alichobugi Magufuli kwenda kufungia kampeni Dodoma, wakati Lisu anafungia Dar kwenye kura million 3.5Mkuu siasa za bongo ni upepo na ushabiki yaani kuna watu hufanya maamuzi mwishoni tena kwa vitu vidogo sana.
Lowassa kufungia Dar na Magufuli kufungia kampeni Mwanza nadhani uliona madhara yake!!
Watu wanahamasika na kuamka kesho kupiga kura basing on mgombea wa mwisho waliyemsikia hku wakiwa hawana muda wa kusikiliza counter influence!!