Uchaguzi 2020 John Mrema jimbo la Segerea sio lelemama, toka mafichoni

Nje ya mada kidogo

Picha za wagombea kwenye karatasi za kura zingekuwa zinawekwa nzima nzima, Bonnah angeshinda kila uchaguzi
 
Mkuu Matola naheshmu maoni yako. Binafsi sioni hizo kampeni za mtaa kwa mtaa. Mimi ni mkazi wa huku nashinda huku nazunguka huku sioni hizo harakati. Ingawa kuna vikao vya usiku huwa nasikia hapo toto Tundu.

Anyway tusubiri 28-10.

Nilisema kuhusu Mtatiro 2015 ulinishukia jumla jumla. Tungoje kwa Mrema vs Bonna
 
John Mrema hana mvuto bora hata tungemuweka wakazi wa ACT kama angelikua hajapata Jimbo la kugombea.
 
Mrema abakie makao makuu awe anachezea laptop tu
 
Uwepo wa Mgombea wa ACT hautaathiri kura za Upinzani?
 
John Mrema watu wanafanya fitina usiku huu. Sasa nyie endeleeni kulala na kesho asubuhi msikague mabox ya kura kabla na baada ya kura.....
 
Hongera Sana mkuu kwa uchambuzi wako murua,kweli uliyosema yametokea. 2025 wimbo ni ule ule, tumeibiwa kura!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…