The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mpumbavu huyuKatika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?View attachment 3294775
Ndio kitajiendesha kwa miaka 100 ijayo ,yeye anawashwa nini, atwambie pia akiwa kiongozi mapato na matumizi ya join the chainKatika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
Duh! Mzee baba mbona ujikosha hivyo eti king lissu ?? Tumefikia uchawa wa namna hii wale machawa wa mama na wewe mnatofauti gani? Huu sio uwanaume mkuuUkitaka kujua hawa ni mazombie subirini King Lisu amaliza operation yake mtakuja kunikumbuka, hao walioko nyuma yenu na wamejificha gizani watabaki salama, nyie mliojifanya eti kuwawakilisha mtashangaa na manyonyo yenu
MNAKERA, YAANI MNAKERA.
Shika jembe ukalime upate ugali.Ndugu wakigombana.........
The only solution if they want to pursue their political carrier is to make a set up of their pollical party, PERIODDuh! Mzee baba mbona ujikosha hivyo eti king lissu ?? Tumefikia uchawa wa namna hii wale machawa wa mama na wewe mnatofauti gani? Huu sio uwanaume mkuu
Huyo Mrema ana heshima gani?Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
niliwahi kuandika uzi humu jukwaani nikaibua hoja hiyo,Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
wanakera kwa sababu wewe ni chawa wa LisuUkitaka kujua hawa ni mazombie subirini King Lisu amaliza operation yake mtakuja kunikumbuka, hao walioko nyuma yenu na wamejificha gizani watabaki salama, nyie mliojifanya eti kuwawakilisha mtashangaa na manyonyo yenu
MNAKERA, YAANI MNAKERA.