THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Wewe FALA kweli,sasa utashikaje Dola bila kuwa na CHAMA?Wewe pimbi Dola ni mfumo siyo siasa.
Wewe FALA kweli,sasa utashikaje Dola bila kuwa na CHAMA?Wewe pimbi Dola ni mfumo siyo siasa.
Hiyu pimbi hakuwahi kuwa na heshima yoyote zaidi ya kuwa na wadhifa wa chawa namba moja wa mzee MboweMwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Wewe kweli pimbi, CCM kuwa chama tawala siyo kwamba ni imara bali ni support ya mifumo ya Dola na waliopo kwenye system wana maslahi nayo. Siku mfumo ukiamua kuwa na maslahi na CDM nayo itakuwa stable all over the sudden. Tusidanganye.Wewe FALA kweli,sasa utashikaje Dola bila kuwa na CHAMA?
huyu mshenzi sana apuuzwe....Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294843
Wachaga wakianzisha jambo lao ni ngumu sana kuwazuia maana wako kila kona ya Tanzania,na wakiungana huwa inakuwa taabu sana.Hawa watu wakae waelewane huu mziki Lisu asiuchukulie poa,wale jamaa nawafahamu.Wachaga wanapata uchungu na pesa.... Baada ya kuona kikapu Cha pesa kakaa nacho mtu mwingine.... Uchungu kama wote ...😂😂😂😂 Maninaaaa....
Kwani Chadema chama Cha nani? Hapo Lissu HANA UBAVU wa kumfukuza Mbowe, bali Mbowe anaweza kumfukuza Lissu hata kwa SMS tu!Mbowe aanzishe chama chake tutamunga mkono
G55 ni akili na busara kubwaKatika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294843
Mnamvimbisha kichwa Lissu.MnampotezaKwahiyo yeye anafikiri kita jiendesha kwa njia gani? Kwa kushiriki uchaguzi huu na kushinda? Mbona hawaja shinda chaguzi ndogo kabisa za serikali za mitaa? Mrema kaa pembeni uache uongozi ulio chaguliwa ufanye kazi yake.
Hoja zake nzito hazijajibiwa.G55 ni akili kubwaHuyo Mrema ana heshima gani?
Ni kiazi tu tangu kitambo, alikuwa anabebwa na Mbowe kwasababu ni MCHAGGA.
Halijawahi kuwa na akili.
Sema CCM wataliokota
Hoja gani?Hoja zake nzito hazijajibiwa.G55 ni akili kubwa
Uchawa mmbaya sanaAmeshakuwa" king "
Mhh
Sana, hawa jamaa ni big brain, bado wengine hawajaongea leoHoja zake nzito hazijajibiwa.G55 ni akili kubwa
Anaonekana mlevi kabisa!Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294843