imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,463
Maua mkuuπππππππππΈππππππππππππππππππππMwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Maua mkuuπππππππππΈππππππππππππππππππππMwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Huwezi tegemea kuendesha chama Kwa kuwa omba omba.Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294843
Rise and fall of Chaga empireKatika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294843
Sasa wewe unataka umpige mawe kwa kutoa hoja zake?? Kwanini usijibu tu hoja zake ili uwashawishi wanachadema na wewe kwa hoja zako?Ss Mrema ww utagombea wapi na nani atakuchagua kwa mfano mbn watu wazima mnajitoa ufaham hamna hata ushawishi huku uraini ngombe nyinyi na mawe yatawahusu mkisogeza pua zenu
Huyu naye naona **** hoja yake haina mashiko kabisa Lisu amepokea chama hakina hela kabisa ameanza na tone tone mipango kutafuta fedha inaendeleaMpumbavu huyu
Lema ni Mturuki sio?Wachaga wanapata uchungu na pesa.... Baada ya kuona kikapu Cha pesa kakaa nacho mtu mwingine.... Uchungu kama wote ...ππππ Maninaaaa....
Sasa mbona huyo mtu wenu Mrema anawashwa sana.???....πππLema ni Mturuki sio?
Tone tone mzigo upo kwake
Jambazi ndio anasimamia mfuko.Sasa mbona huyo mtu wenu Mrema anawashwa sana.???....πππ
Hakuna mahali hili tapeli lilishawahi kujijengea heshima. Kilikuwa limejificha kwenye kivuli Cha watu wenye akili na msimamo akina Lissu ndo maana alikuwa anashindwa kuonesha rangi yake halisi.Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Simba sio king of a jungle?Ameshakuwa" king "
Mhh
Wewe pimbi Dola ni mfumo siyo siasa.Chadema hawajawahi hata siku moja kuwa tayari kuongoza nchi hii...chama chenyewe kinawashinda itakuwa Dola?