kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 18,577
- 23,171
Huyu kweli niwakuhoji tonetone ya watanzania !!
Enzi za mbowe amewahi hoji hayo
Enzi za mbowe amewahi hoji hayo
Hiyo id ina jina la mwanaume?Duh! Mzee baba mbona ujikosha hivyo eti king lissu ?? Tumefikia uchawa wa namna hii wale machawa wa mama na wewe mnatofauti gani? Huu sio uwanaume mkuu
Nilikua namheshimu sana huyu kumbe dalali wa siasa.Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Huwezi ukawa mwanaume kamili ukawa chawa wa mwanaume mwenzakoHiyo id ina la mwanaume?
Tonetone ni michango inayoendelea, aseme ya join the chain ilikuwa ngapi?Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
na samia, kikwete, nyerere, mwinyi, na wewe labda Mkapa, trump etc etc wote ni madalali wa siasa. Kwenye siasa kuna kula, mamlaka, pesa, heshima kuitwa Mheshimiwa, kuabudiwa etc etcTafuta kazi Mangi, udalali wa siasa sio poa.
Umejuaje kama ni mwanaume?Huwezi ukawa mwanaume kamili ukawa chawa wa mwanaume mwenzako
Hakuna cha ndugu hapo. Hilo ni pandikizi lililoshtukiwa na limewekwa kando ambalo saivi linatumika na Wapuuzi CCM na wajinga wachache walioko TISS.Ndugu wakigombana.........
Game is over kivipi? Yaaani hawa wapuuzi madalali wa kisiasa wana impact gani kwa CHADEMA?TULIWAAMBIA,TOKEA LINI MCHAGA AKAMUACHIA MMBULU CHAMA?
THE GAME IS OVER HAPOOO...
Tunafahamu fika wewe na Mwenyekiti wenu Mbowe mlikuwa wanufaika wakubwa wa pesa za Sa100 kutoka Serikalini na ndiyo maana mnalialia sasa hivi zile pesa chini ya uongozi wa Lisu hazipo tena, inafahamika kuwa wazi kuwa pesa lazima iwe ngumu maana Lisu hayupo tiyari kupokea pesa za hongo.Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
Wewe mpuuzi LISSU NI MFALME hutaki kafie huko cha msingi "NO REFORM NO ELECTION"Duh! Mzee baba mbona ujikosha hivyo eti king lissu ?? Tumefikia uchawa wa namna hii wale machawa wa mama na wewe mnatofauti gani? Huu sio uwanaume mkuu
Piteni hivi mkaanzishe chama chenu,aliondoka slaa na chama kipo hadi leo sembuse nyie.Mngefanya haraka kuondoka msijekosa nafasi kwenye vyama vingine.Katika mkutano na waandishi wa habari John Mrema amehoji fedha zinazochangishwa na kampeni tonetone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? huku akiongeza kuwa viongozi hawana cha kujibu, aidha ameongeza kuwa chama kitajiendesha kwa fedha za tonetone kwa miaka mitano?
View attachment 3294777
hana haki ya kuhoji matumizi na mapato ya chama?Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Hahahahahaha njoo madibira kula waliShika jembe ukalime upate ugali.
Na sasa hivi mvua zinanyesha sana.
Aende kwenye vikao halali vya chama taarifa hizo zipo. Una lingine upate ufafanuzi?hana haki ya kuhoji matumizi na mapato ya chama?