PreGE2025 John Mrema: Kampeni yetu ya tone tone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? Viongozi hawana cha kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Bila reform hakuna mbunge wala diwani wa CDM , CUF au chama chochote cha upinzani atapenya katika tume ya uchaguzi ambayo ipo na mapenz makubwa upande mmoja

NI kama mechi ya uto na simba alfu mwamuzi ni manara hahaha
 
Jamaa ana hoja ila viziwi wa Chadema chini ya uongozi wa Lisu hawasikii. Lisu chama kinamfia kwa ujeuri wake. Hao G 55 wana nguvu kuliko timu Lisu

Kubalini Lissu alimnyoosha Mwamba kwenye uchaguzi hadharani Tena bila mategemeo. Kubalini Lissu kamstaafisha Mbowe siasa.
 
Nilikua namheshimu sana huyu kumbe dalali wa siasa.
Wewe unafikiri ataishi vipi, Wanasiasa wote wakikosa nafasi za kisiasa lazima wapagawe kwasababu wanakua awana vyanzo vya Mapato na kujiajiri ni ngumu kwao wameshazoea pesa za bure, Nape ukimtumbua kwenye Ubunge ataxia njaa na ni wote tu ata Nchimbi, Makala.
 
Kubalini Lissu alimnyoosha Mwamba kwenye uchaguzi hadharani Tena bila mategemeo. Kubalini Lissu kamstaafisha Mbowe siasa.
Hiyo ninkweli kabisa maana hata huyo mwamba mwenyewe alikubali matokeo na uchaguzi ukaisha salama. Hoja ni kinachoendelea baada ya uchaguzi
 
Hiyo ninkweli kabisa maana hata huyo mwamba mwenyewe alikubali matokeo na uchaguzi ukaisha salama. Hoja ni kinachoendelea baada ya uchaguzi

Ndio wakae kimya wamuache Lissu akijenge chama. Miezi miwili tu kelele nyingi kama chura.
 
Game is over kivipi? Yaaani hawa wapuuzi madalali wa kisiasa wana impact gani kwa CHADEMA?
Mbona walikuwa viongozi wenu miaka nenda rudi? Kwa hiyo mlikuwa mnaongozwa na madalali? Halafu tuwape nchi muongoze kweli nyinyi!! No, No, No!!
 
Halafu eti Chadomo tuwape nchi waongoze!!
 
Mrema atashindana lakini hatashinda. Awe makini CCM wanaweza kumkwapua halafu wamsingizie Lissu
 
Bila reform hakuna mbunge wala diwani wa CDM , CUF au chama chochote cha upinzani atapenya katika tume ya uchaguzi ambayo ipo na mapenz makubwa upande mmoja

NI kama mechi ya uto na simba alfu mwamuzi ni manara hahaha
Itaachia mamluki wachache ili kuonyesha katiba haina shida ila hao mamluki watatakiwa kufanya siasa za remote control
 
Mrema atashindana lakini hatashinda. Awe makini CCM wanaweza kumkwapua halafu wamsingizie Lissu
Acha uongo sema wewe na group lako la wahuni mna mpango wa kutaka kumdhuru. Tumeshaweka kumbukumbu hii comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…