PreGE2025 John Mrema: Kampeni yetu ya tone tone mpaka sasa imefikisha shilingi ngapi? Viongozi hawana cha kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Maua mkuuπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸŒΈπŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’πŸ’
 
Nimejifunza ukiingia mahali kwa kutumia uongo,uongo huo huo ndio utakakutesa!!Lisu alisema hela za mama Abdul na hakuna ushahidi hadi leo.Sasa na yeye wanamtoa jasho na tone tone.
 
Huwezi tegemea kuendesha chama Kwa kuwa omba omba.

Wanaoshiriki uchaguzi wenye vikwazo Ili wapate japo ruzuku sio wajinga πŸ˜†πŸ˜†

View: https://www.instagram.com/p/DIGnO-SgdU9/?igsh=MXdlYzg5ZGI0Z3JoOA==
 
TUNDU LISSU mmoja tu akiongea hata nyoka walipo pangoni na wagonjwa walipo ICU wanaamka kwa muda na kumsikiliza.
Sasa anaangalia machawa wanavoangaika kama kuku mwenye kideri anaeyetaka kukata roho..
 
Ss Mrema ww utagombea wapi na nani atakuchagua kwa mfano mbn watu wazima mnajitoa ufaham hamna hata ushawishi huku uraini ngombe nyinyi na mawe yatawahusu mkisogeza pua zenu
 
Ss Mrema ww utagombea wapi na nani atakuchagua kwa mfano mbn watu wazima mnajitoa ufaham hamna hata ushawishi huku uraini ngombe nyinyi na mawe yatawahusu mkisogeza pua zenu
Sasa wewe unataka umpige mawe kwa kutoa hoja zake?? Kwanini usijibu tu hoja zake ili uwashawishi wanachadema na wewe kwa hoja zako?
 
Wachaga wanapata uchungu na pesa.... Baada ya kuona kikapu Cha pesa kakaa nacho mtu mwingine.... Uchungu kama wote ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maninaaaa....
 
Jamani nimechoka na makelele. Nyamazeni basi!! Kuongoza familia yenye fujo ni kazi sana.
 
Wachaga wanapata uchungu na pesa.... Baada ya kuona kikapu Cha pesa kakaa nacho mtu mwingine.... Uchungu kama wote ...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maninaaaa....
Lema ni Mturuki sio?

Tone tone mzigo upo kwake
 
Mwehu huyu,anajishushia heshima aliyojijengea miaka yote
Hakuna mahali hili tapeli lilishawahi kujijengea heshima. Kilikuwa limejificha kwenye kivuli Cha watu wenye akili na msimamo akina Lissu ndo maana alikuwa anashindwa kuonesha rangi yake halisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…