John Mrema kuunguruma tarehe 25 January

Huo ni ukosa akili, akumbuke Lissu hajasema yote, akifungulia koki utaloa vibaya huyu.
Uchaguzi umeisha atulie
 
Moja ya sifa kuu ya Demokrasia ni Uhuru wa kutoa maoni.
 
Huyu ndio nani katika siasa??? Mbona kama taarifa hii ina trend? Anaumuhimu wowote wa kupewa attention au ni mpuuzi wa kupuuzwa ambae anatumia uhuru wake wa kuandika..
Ametumwa awachanganye Chagademas wenzie 😳😳🙄
He is getting paid for that !
It’s a job ?????!!!
Nani anajua which is which atufahamishe please 🙏. !
 
Keshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!

View attachment 3210559
Mrema ni mmoja tuu.
Augustine Lytonga Mrema.

Huyo mwingine ni chawa kama chawa wengine na hana mvuto ndani na nje ya chama na serikali .

Yaani CCM haijawahi kumhofia Mrema mwengine tena .
 
Huo ni ukosa akili, akumbuke Lissu hajasema yote, akifungulia koki utaloa vibaya huyu.
Uchaguzi umeisha atulie
Hakuongea kabla ya uchaguzi, anataka aseme nini na kitabadilisha nini wakati wajumbe wameamua na wananchi wameafiki!!

Huyu hakutegemea haya mabadiliko na pengine hakua amemaliza miradi yake sasa amepata shock na hajui ataanzia wapi kubaki relevant kwenye siasa.
 
Duh
 
Mkuu jamaa ni mtu wa masanga vibaya sana mchekinhata afya yake.. anawaza pesa ya pombe ikizingatiwa mwamba ameapa kurudi kwenye biashara zake.
 
Huyu ndio nani katika siasa??? Mbona kama taarifa hii ina trend? Anaumuhimu wowote wa kupewa attention au ni mpuuzi wa kupuuzwa ambae anatumia uhuru wake wa kuandika..
Mkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa chadema.
 
Wengi wako kwenye denial kwa sasa, walidharau upande wa Lissu hawakumwona kama anaweza shindana na Mbowe na akashinda. Mrema haamini kilichotokea, na inabidi apishe wengine, hakujipanga.
 
Wananchi na wanachama wamemkubali Lisu awaongoze.
Huo uharo wake kachelewa kuutoa.
Mwenyekiti fanya haraka kufanya mabadiliko na mageuzi makubwa ya watendaji wa makao makuu.
Chama kwa sasa lazima kirudi kwa wanachama
 
Keshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!

View attachment 3210559
Aliye karibu naye mshaurini akae kimya, nasikiaga huyu mke wake ni mmoja ya Covid 19, hii inamuondokea moral authority ya kuaminika.

Ajipange kugombea ubunge, huyu jamaa alizunguka na Lowasa nchi nzima kama hakuvuna chochote kuwekeza biashara binafsi basi atakuwa na shida kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…