missongika
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 341
- 409
Wacha naye aseme yake ya moyoni, itapendeza kama ataunga mkono uongozi uliopo sasa, tofauti yake itamgharimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh OK. Kumbe mtu mkubwa. Ila sidhani kama bado ni mtu sahihiMkurugenzi wa itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa chadema.
Huyu ni mnufaika wa mbowe na pesa za abdulKeshokutwa MwenyeziMungu akinijalia nitasema kwa kinywa kipana sana ! Taasisi ni muhimu sana! Matusi na kejeli havijengi! Kuishi Ughaibuni havijengi!!
View attachment 3210559