PreGE2025 John Mrema: Kuzuia uchaguzi ni kufanya Jinai, njia ya No Election si sahihi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.

Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”

Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.

====
Maoni ya wadau

Mentality ya John Mrema na wenzake ni kutaka kugombea ubunge ili Tume ya CCM labda iwaonee huruma na kuwarushia viti vichache vya Ubunge na maisha yasonge!

Magufuli alishaonesha ubovu wa mfumo wetu wa uchaguzi na bila aibu akapora viti vyote kasoro kimoja tu kule Nkasi. Mama Samia naye kafanya hivyohivyo juzi kati hapa baada ya kujua Watanzania wengi sana ni wajinga, na hatutamfanya kitu!

Ni ujuha, upumbavu na ubabaishaji kung’ang’ania kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira yaleyale huku ukitegemea matokeo tofauti. Na hii ndio definition halisi ya madness!
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.

Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”

Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.

View attachment 3294783
Reform itakuwa kisheria
Kuwatumia wananchi kulinda kura je itakuwa kisheria

Hauoni kuwa kwa kwenda kulinda kura huku umeambiwa usiende na ukaenda ukikamatwa itaitwaje hiyo?

Reform sio inaenda kuleta ustawi wa Siasa za upinzani Ila inaenda kuleta na ustawi wa Ccm ambao wanamtumia kwa sasa kuharibu harakati.

Mfano mwaka 2015 MTU Kama Waitara Ccm ilimkata akaja upinzani akapata ubunge .

Ila kwa Mfumo iliopo wa sasa ukikatwa Ccm utaenda kugombea wapi.?.

No reform no election
 
Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.
Mbona ni kama uchizi, yaani usimamishe wagombea ili wakashawishi wananchi kugoma uchaguzi kufanyika😀😀

Anajua maana ya mgombea??😄
 
Msiwe kama simba, andikeni barua pelekeni tume na kwa msajili

Naona dalili ya kufutwa hiki chama kama watafanya hii jinai wakati huo wa uchaguzi
 
Kama ni jinai si wamkamate Lissu na Heche wawafungulie kesi ya uhaini?
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.

Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”

Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.

View attachment 3294783

..CCM ndio wanaozuia uchaguzi kwa kufanya dhuluma mbalimbali ikiwemo kupiga kura feki.

..Ndio maana Chadema na ACT wanashinikiza ziwepo Reforms / Mabadiliko.
 
Kulikuwa na CUF ya Maalim Seif vs Lipumba

NCCR ya Mrema vs Masumbuko

Now,Chadema ya Mbowe vs Lissu

Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
 
Mlema na wenzake ni akili kubwa
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.

Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”

Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.

View attachment 3294783
 
Kulikuwa na CUF ya Maalim Seif vs Lipumba

NCCR ya Mrema vs Masumbuko

Now,Chadema ya Mbowe vs Lissu

Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini

Acha uongo, Mbowe alipigwa kwenye uchaguzi hadharani na akakubali. Kwa maana nyingine Mbowe alistaafishwa siasa na Lissu. Kwa hivyo hakuna Cha CHADEMA ya Mbowe.
 
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.

Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.

“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”

Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.

View attachment 3294783
Kumbe wako wengi
 
Back
Top Bottom