The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Mentality ya John Mrema na wenzake ni kutaka kugombea ubunge ili Tume ya CCM labda iwaonee huruma na kuwarushia viti vichache vya Ubunge na maisha yasonge!
Magufuli alishaonesha ubovu wa mfumo wetu wa uchaguzi na bila aibu akapora viti vyote kasoro kimoja tu kule Nkasi. Mama Samia naye kafanya hivyohivyo juzi kati hapa baada ya kujua Watanzania wengi sana ni wajinga, na hatutamfanya kitu!
Ni ujuha, upumbavu na ubabaishaji kung’ang’ania kuingia kwenye uchaguzi katika mazingira yaleyale huku ukitegemea matokeo tofauti. Na hii ndio definition halisi ya madness!
Reform itakuwa kisheriaAliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.
Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”
Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.
View attachment 3294783
Mbona ni kama uchizi, yaani usimamishe wagombea ili wakashawishi wananchi kugoma uchaguzi kufanyika😀😀Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.
Na Mbowe yuko nyuma yao, ndiye anayeyasukuma hayo makombo yajitokeze mbele ya waandishi wa habari.Makombo ya Mbowe hayo
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.
Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”
Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.
View attachment 3294783
Magufuli aliweza kukifuta?Msiwe kama simba, andikeni barua pelekeni tume na kwa msajili
Naona dalili ya kufutwa hiki chama kama watafanya hii jinai wakati huo wa uchaguzi
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.
Mrema amesema hayo leo April 06, 2025 akizungumza na wanahabari juu ya waraka ulioandikwa na kundi la G-55 ambalo ni wagombea ubunge 2020 na watiania wa ubunge wa chama hicho kwa mwaka 2025 ulioandikwa kwenda kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika.
“kwenye no election njia ambayo chama imetumia tunaona sio sahihi…tunaona hatuwezi kuzuia uchaguzi kwa kuwa nje ya uchaguzi, kujaribu kuzuia uchaguzi huku ukiwa nje itakuwa ni sawa na kufanya jinai”
Mrema amefafanua njia pekee inayoaminiwa na kundi hilo ya kuzuia uchaguzi ni kushiriki kwenye uchaguzi ili wawatumie wagombea kushawishi wananchi kuzuia uchaguzi katika vituo vya uchaguzi.
View attachment 3294783
Mrema tema madini wajinga hawawezi kukuelewaSasa wewe John Mrema una ongea kama nani je hiyo G55 imesajiliwa Hadi ukapewa mamlaka ya kuzungumza kwa niaba?.
Kulikuwa na CUF ya Maalim Seif vs Lipumba
NCCR ya Mrema vs Masumbuko
Now,Chadema ya Mbowe vs Lissu
Tuendelee kula mtori nyama tutazikuta chini
Kumbe wako wengiAliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa CHADEMA John Mrema amesema iwapo chama hicho kitatekeleza mpango wake wa kuzuia uchaguzi bila kushirikia itakuwa ni sawa na kufanya jinai.