DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Low IQ ni tatizo kubwa si kwa john mrema tu, vyama vyote na taasisi zina hawa watu.Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara vile .
Kweli chadema sasa hivi ndo imejipata na sio kipindi cha nyuma.
inaonekana hivi vyeo wanapeana kindugu Ila no competent.Low IQ ni tatizo kubwa si kwa john mrema tu, vyama vyote na taasisi zina hawa watu.
Huwa wanatumika kama chawa or wapiga kampeni. Ila kung’amua mambo mazito hawawezi
This guy ni empty .Mrema Wala siyo mwanasiasa, alikuwa mtendaji ndani ya chama tu. Hajawahi kushiriki siasa za majukwaani kwa maana ya kugombea na kushinda hata kitongoji.
😁😁😁Sio kwamba hana akili , ukishaanza kuwa chawa lazima ujitoe ufahamu
hakika.Mjinga akinyamaza, naye huwa anaonekana na akili.
CDM iliwafichia ujinga wao.
CDM ilipoteza mwelekeo baada ya ujio wa Lowassa wakawa wanateua viongozi ambao hawana vision yoyote zaidi ya vibe tu.Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara vile .
Kweli chadema sasa hivi ndo imejipata na sio kipindi cha nyuma.
Nimekuja kuamini jina Chadema linawabeba watu wengi sana. Huenda wengi ni wabovu kuliko wale wanaoonekana pale Lumumba na Dodoma. He's just a piece of scrap.Huyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara vile .
Kweli chadema sasa hivi ndo imejipata na sio kipindi cha nyuma.
Kwa kweli. Kumbe alikua anabebwa na mjomba tu pale.Sidhani hata kama huo upeo mdogo anao..
You have a point.CDM ilipoteza mwelekeo baada ya ujio wa Lowassa wakawa wanateua viongozi ambao hawana vision yoyote zaidi ya vibe tu.
Ndiyo maana tangu hapo hawajawahi kutengeneza mwanasiasa mwenye ushawishi kwa jamii tena wamebaki wale wale
Kabila: MchagaHuyu jamaa anajiita John Mrema ilikuaje akawa na cheo kikubwa hivyo hapo Chadema , wakati Ana IQ ndogo .
Nimemsikiliza hapa Leo katika kipindi cha Power breakfast Clouds cha "Scanning" hosted by CIZA.
Anaulizwa atoe tafsiri ya neno
"No reform no Election" anaaanza kubabaisha Mara hivi Mara vile .
Kweli chadema sasa hivi ndo imejipata na sio kipindi cha nyuma.
Mrema alikuwepo kabla ya Lowasa. Sema Mjomba Mboe alimkingia kifuaCDM ilipoteza mwelekeo baada ya ujio wa Lowassa wakawa wanateua viongozi ambao hawana vision yoyote zaidi ya vibe tu.
Ndiyo maana tangu hapo hawajawahi kutengeneza mwanasiasa mwenye ushawishi kwa jamii tena wamebaki wale wale
Alikuwepo ndiyo lakini hakuwa kwenye nafasi kubwa kama aliyopewa baada ya Chama kupoteza mwelekeo.Mrema alikuwepo kabla ya Lowasa. Sema Mjomba Mboe alimkingia kifua
Hela ya Lowasa iliwachanganyaAlikuwepo ndiyo lakini hakuwa kwenye nafasi kubwa kama aliyopewa baada ya Chama kupoteza mwelekeo.