John Mrema ni Mwanasiasa mwenye upeo mdogo sana wa ufahamu.

Kutokana na umaarufu wa chadema ,ulimficha mambo mengi, sasa ndo anaonekana kwamba ni mweupe sana
 
John Mrema ni mtu mbadi sana, yaani hakosei,
analenga mule mule kwenye mshono kabisaa , dah!

anawakera Chadema kinyama, dah 🐒

Chadema wanataka mtu wa CHAUMA aeleze sera za Chadema, siasa ya maajabu sana hii dah 🤣
 
Mrema upeo wake ni far better kuliko waliobaki huko CDM
 
Kwa kweli. Kumbe alikua anabebwa na mjomba tu pale.
Mtu yoyote ukijaribu kutetea uovu na uozo, huwezi. Hata ungempeleka mwanasiasa mzuri kabisa kutetea uozo wa CCM hawezi na ataonekana kama hana akili. Ni kama mchana wa jua kali upelekwe kwenye TV ku-convince watu kuwa sasa hivi ni usiku wa giza nene.
 
Mtu yoyote ukijaribu kutetea uovu na uozo, huwezi. Hata ungempeleka mwanasiasa mzuri kabisa kutetea uozo wa CCM hawezi na ataonekana kama hana akili. Ni kama mchana wa jua kali upelekwe kwenye TV ku-convince watu kuwa sasa hivi ni usiku wa giza nene.
Hawana aibu kabisa.
 
Mkuu unadhani hana uwezo? Tatizo ni kujaribu kutetea kwa kupinga jambo ambalo liko dhahiri. N lazima uonekane kama mwenda-wazimu. Hivi mtu hata awe na akili kiasi gani ukimwambia atetee uozo wa CCM ataweza? Msigwa alikuwa mwanasiasa mwenye hoja za maana lakini sasa amekuwa kama mwehu! Mbowe alikuwa mwanasiasa mwenye hoja za maana lakini alipokuwa anatetea kuendelea kuwa mwenyekiti wa CDM alionekana kama kituko. Samia amejaribu kumpinga Gwajima lakini ameoneka kama idiot! Principle ni ile ile: huwezi kutetea uovu kwa hoja.
 
Of course Nadhani Sababu ya John mrema IQ yake kua ndogo zaidi ya Panzi ni Tamaa ya Nyama choma na Bia za bure kutoka mboga mboga .

Dhambi ya Usaliti inamtafuna, Inavutia!!!
Mboga mboga nao wana IQ ndogo kwa kumtumia John Mrema mwenye IQ ziro
 
Mjinga akinyamaza, naye huwa anaonekana na akili.

CDM iliwafichia ujinga wao.
Hata kama mtu ana uwezo mkubwa wa kuzungumza au kuandika, uovu bado utaonekana na watu wengi, na hawatakubaliana nao. Uhalali wa hoja unatokana na ukweli wake, si ustadi wa kuitetea.
 
Ndio mwenyekiti wa vijana wenye tamaa ya pombe na nyama choma za bure. Kwanza kila saa yupo stimu.
 
Ni kilaza
 
Huyo Kilaza,ameshapuuzwa na kundi lake la njaa55
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…