Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili.
Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.
===
"Tunaamini kwamba lazima tuendelee kudai mabadiliko lakini tukiwa ndani ya uchaguzi"- John Mrema, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano CHAUMMA