PreGE2025 John Mrema: No Reforms No Election ukisema kwa Kiswahili unaharibu, sisi hatukutaka kuzuia Uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili.

Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.
===
"Tunaamini kwamba lazima tuendelee kudai mabadiliko lakini tukiwa ndani ya uchaguzi"- John Mrema, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano CHAUMMA

View attachment 3349402
Je tulitaka kutumikia mabwana wawili?Au nimeachwa na ujumbe uliobebwa hapa?
 
Hawa ni wahuni wahuni wanataka kuwalaghai watanganyika.
 
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili.

Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.
===
"Tunaamini kwamba lazima tuendelee kudai mabadiliko lakini tukiwa ndani ya uchaguzi"- John Mrema, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano CHAUMMA

View attachment 3349402
Rushwa, rushwa
 
Mzazi wake alijua ameuza ng’ombe kusomesha mtoto kumbe kasomesha ng’ombe mwingine.
 
Aisee katika mahojiano clouds tv yule mwenyekiti wa G55 john mrema baada ya kuulizwa nini maana ya no reform no election kasema imekosa neno la kiswahili.

Wazazi wa john mrema kama mlijua mna mtoto hile pesa ya kumsomesha ingekuwa mnatumia kula kitimoto na mbege.
===
"Tunaamini kwamba lazima tuendelee kudai mabadiliko lakini tukiwa ndani ya uchaguzi"- John Mrema, Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano CHAUMMA

View attachment 3349402
Huyu jamaa ni kilaza kabisa, hata walimu wake walipata shida sana kumfundisha.
 
Back
Top Bottom