CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Hivi kweli ni graduate huyu chapombe? Au aligraduate kutoka ujinga na kuwa mpumbavu? This is unbelievable.Kumbe jambo likitamkwa kwa kiingereza tafsiri yake haimaanishi kile kinachomaanishwa kwa kiswahili?
No reforms = tunadai mabadiliko
No Election = tukiwa ndani ya uchaguzi kwa tafsiri ya John Mrema
Shuguli ipo.