Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Eti MBOWE ni gaidi, Mwanamke akimoenda mwanaume, halafu akashindwa kumwambia, huanza kumfanyia visa.Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:
"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"
Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!
Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.
Nini maoni yako?
Hulazimishwi kuamini, hatupo zama za mekoKwani ye ndio nani hadi tuamini?
Chadema mnajua kutengeneza fitina lakini system inajua. Hata huko Mwanza mlisema Kamanda wa Police wa Mkoa aliwaambia ametumwa na Rais Samia kuja kusimamisha lile kongamano wakati makamanda wote wanafanya kazi chini ya IGP.Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:
"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"
Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!
Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.
Nini maoni yako?
Ushahidi upo wapi?Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:
"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"
Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!
Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.
Nini maoni yako?
🤣🤣Mkurugenzi wa uenezi na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema amesema baada ya Mbowe kufikishwa Dar kutokea Mwanza, Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:
"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi"
Mrema ameyasema hayo katika bunge la wananchi linalofanyika kupitia Space!
Ni maneno ya ndugu Jonh Mrema, Mkurugenzi wa Mawasiliano, Itifaki na Mambo ya Nje wa CHADEMA.
Nini maoni yako?
Mbowe ni Gaidi alimwambia Sabaya akishinda kesi ata deal nayeNi bahati mbaya sana CCM wanafanya haya kumuangamiza Rais na yeye hajui kuwa anaingizwa mkenge na kundi la kikafiri kutoka ndani ya CCM.
Baada ya haya yote lawama zote zitarudi kwa Rais na hawa majambazi aliyoyaapisha kwa mikono yake yatamgeuka na kujifanya yalitumwa na yeye. Arejee yaliyotokea baada ya kifo cha Magufuli.
Kwan boss wa RC Ni Nani? Na mbona mawaziri wanatoa maagizo same time RaisChadema mnajua kutengeneza fitina lakini system inajua. Hata huko Mwanza mlisema Kamanda wa Police wa Mkoa aliwaambia ametumwa na Rais Samia kuja kusimamisha lile kongamano wakati makamanda wote wanafanya kazi chini ya IGP.
Mwache kupotosha watanzania
Msijaribu kuchafua ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa siasa uchwara zenuKwan boss wa RC Ni Nani? Na mbona mawaziri wanatoa maagizo same time Rais