John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

Huyo Mrema alikuwepo wakati hayo maneno yakisemwa?! Viongozi ni muhimu kujihadhari na maneno yanayoweza chochea chuki za namna yoyote.
Mbona alitoa Press Release siku wamempeleka kumsachi mbowe kwake mikocheni na kesho yake misime wa polisi akasema wanampa kesi hiyo ya ugaidi
 
Mbona alitoa Press Release siku wamempeleka kumsachi mbowe kwake mikocheni na kesho yake misime wa polisi akasema wanampa kesi hiyo ya ugaidi
Wamesema wanampa kesi ya ugaidi au ‘wanamtuhumu kwa ugaidi’? Na je, ulisikia mahali huyo afande akisema ‘ Safari hii huchomoki’ kama Bwana Mrema alivyotabanaisha?
 
Wamesema wanampa kesi ya ugaidi au ‘wanamtuhumu kwa ugaidi’? Na je, ulisikia mahali huyo afande akisema ‘ Safari hii huchomoki’ kama Bwana Mrema alivyotabanaisha?
Hoja hapo alichosema mrema si ndiyo kesho yake misime alitangazia dunia
 
Huyu askofu asimlinganishe Yesu na mambo ya ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe angefanya siasa za kistaarabu kama wenzake kina Mbatia, Lipumba n.k yasinge mkuta haya ya ugaidi, ila Mbowe ana uchu na tamaa ya uongozi hivyo kutokana na uchu wake kaamua kutumia njia zisizo faa za kigaidi na umafia.
uongozi hautafutwi kwa kupanga njama na kuuwa watu wengine kisa uanatafuta uongozi sasa yamemtokea puani.
 
Una ushahidi
 
Kwa njama za kumuua kiongozi wa juu kabisa, shitaka lake ni TREASON: hukumu yake ni kunyonya mpaka kufa.

Há há há há há kweli siasa ni kitu kitamu.
Kesi siyo maneno ni ushahidi wa kuishawishi mahakama siyo maneno ya kuchonga
 
Huyu naye siku hizi kawa mwongo mwongo

Apunguze pombe
 
Maandalizi ya kumbambikizia KESI yalifanywa na Watawala kwani Kongamano la KATIBA MPYA Sio Rafiki kwako

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe waliongea nae?! Mbn walisema hawajamuina hawa au wamesahau mara hii
Muwe mnasoma kwa utulivu siyo kukurupuka tu. Yeye amesema ni polisi ndiyo alimwambia hayo maneno na siyo Mbowe.
 
Kumbe hizi kesi unaweza kupewa kirahisi kabisa namna hii...God watch this...!!!
 
Gaidi hafai kuonewa huruma,Tena ningekuwa nimemkamata Mimi ,sasa hivi tungekuwa tunaimba parapanda
 
John Mrema ni mpuuzi fulani hivi, kuwa na kipara si kuwa na akili! Yeye na Mbowe ni wapuuzi sana, Mama Samia usiwalegezee hawa wajinga!
 
Waliomhoji Mrema,majibu yalishapatikana sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…