John Mrema: Polisi alimwambia Mbowe "This time huchomoi tunakupa kesi ya Ugaidi"

Ameandika wapi? Mbona hajaandika kabla ya kuzaa na muumini na kumtekeleza na mtoto wake, kulikuwapo nini?
 
Una ushahidi
Kwa nini anashitakiwa. Anashitakiwa kwa kwa kutumia ushahidi uliyokusanywa. Nafurahia saana pingamizi za Kibatala na wenzake, hawajui hizo pingamizi zinamuongezea siku za kukaa ndani. Atakapofungwa labda itamsaidia kama itakubalika hizo siku kupunguzwa kwenye kifungo. The truth is atakula miaka.
 
Kwahiyo unathibitisha maneno ya Kingai kuwa hachomoki, hata mwenendo wa kesi umeegemea kutochomoka.
 
Sisi watu wa Mungu tunamwamnia ACP Kingai This time yeye ndiye Hachomoki. Mark my words
 
Hii issue ilishapangwa kwa pesa ndefu litambo. Alipofariki Magufuli walidhani kazi imeisha.
 
This are very serious allegations...

Nina maswali mawili au matatu kuhusu tuhuma hizi;

1. Jina la huyo polisi ni nani?

2. Je, ni miongoni mwa waliomkamata na wanaotoa ushahidi katika kesi inayoendelea kumhusu?

NB: Kama majibu ya maswali haya ni "NDIYO", then THE GAME IS OVER...!
 
Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:

"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" [emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Kamanda wa Polisi wa Kinondoni, ACP Ramadhani Kingai alimwambia:

"This time huchomoki, tunakupa kesi ya ugaidi" [emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Kaweka tolori mbele ya punda.
 
Wakati huku Tanzania akina Kingai walipandiswa cheo, huko Kenya ambako kuna Rais wa watu hali ni Tofauti.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…